Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hilo songs mda wote nalimung'unyaa tu mdomoni, daah Tom boy kajua kuninyoosha haswaaah. "Sukuma Ndinga" kwa sauti ya mnyanwezi wa kikee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu ila Altezza ukiifunga mziki mnene...na mtoto mkareee maisha yanaenda murua...
 
I love this lady
 
east africa sijona mtoto wa kike anae mpita rosa ktk kurap kama yupo meingine nipatie jina lake nikalinganishe
Rosa kwa uwezo wake ule akipata management kama vile wcb basi ujue level zake ni kina show mardjoz,yemi huko
 
Wacha iendelee kusemekana. ila ngoma ni kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…