Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Aiseesiku zote mi nilikuwa najua huyu ndugu ni binti kumbe ni me!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseesiku zote mi nilikuwa najua huyu ndugu ni binti kumbe ni me!
Atuletee picha ya hiyo kitu iliyo tight ili tuamini.Wasanii wetu bhana siku hizi wana mbinu nyingi sana za kujitafutia soko la kudanga kwa kupitia sanaa zao wanazofanya.
Kauli hii imethibitika vilivyo baada ya rapper wa kike anayesumbua hapa nchini Rosa Ree kuachia wimbo wake wa One Way.
Katika huu wimbo asilimia kubwa Rosa Ree anasifia maumbile yake ya ndani kwamba yanavutia sana tofauti na wanawake wengine.
Mfano kuna kipande ameimba hivi " Nipo tight sina rambo, nainjoi nikila tango" huu ni mfano tu wa mashairi katika wimbo wake wa One Way humo ndani kaimba matusi matupu na haswa ukiangalia video yake ndio kabisaaaa.
View attachment 853492