Pre GE2025 Rose Mayemba: Kampeni ya "No reforms, No Election" haitakuwa rahisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu anapaswa kuwa CCM tu mahali ambapo kumejaa akili kubwa. Anajiamini sana katika kuzungumza japo anazungumza mambo ambayo ndio kiu ya Rais Samia na CCM kuhakikisha kuwa Watanzania wanaishi maisha bora na yenye heshima na keki ya Taifa inagawiwa kwa Usawa.. Ndio maana leo tunaona Elimu bure tena Elimu yenye ubora na viwango vya kimataifa,ajira kwa vijana ili vijana wapate kulitumikia Taifa lao na kutoa Mchango wao kwa Taifa.

Huyu Dada ni lazima aingie ndani ya CCM kujiunga na Jeshi la Wazalendo.
Rose Mayemba
 
Rose ana akili timamu hawezi kujiunga na genge la mafisadi na wauaji
 
Huyu anapaswa kuwa CCM tu mahali ambapo kumejaa akili kubwa. Anajiamini sana katika kuzungumza japo anazungumza mambo ambayo ndio kiu ya Rais Samia na CCM kuhakikisha kuwa Watanzania wanaishi maisha bora na yenye heshima na keki ya Taifa inagawiwa kwa Usawa.. Ndio maana leo tunaona Elimu bure tena Elimu yenye ubora na viwango vya kimataifa,ajira kwa vijana ili vijana wapate kulitumikia Taifa lao na kutoa Mchango wao kwa Taifa.

Huyu Dada ni lazima aingie ndani ya CCM kujiunga na Jeshi la Wazalendo.
NDO AKUTANE NA AKILI YAKO YA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI PAMOJA NA ASANTE MAMA HATA UKINYWA MAJI

ACHA ABAKI HUKO, MTAMHARIBU HUYU ACHA ABAKI KWA WATU WENYE AKILI HUKO HUKO, ANGALAU TANZANIA TUBAKI NA CHAMA KIMOJA KINACHOPUMUA.
 
🤣🤣🤣
 
Huyu anapaswa kuwa CCM tu mahali ambapo kumejaa akili kubwa. Anajiamini sana katika kuzungumza japo anazungumza mambo ambayo ndio kiu ya Rais Samia na CCM kuhakikisha kuwa Watanzania wanaishi maisha bora na yenye heshima na keki ya Taifa inagawiwa kwa Usawa.. Ndio maana leo tunaona Elimu bure tena Elimu yenye ubora na viwango vya kimataifa,ajira kwa vijana ili vijana wapate kulitumikia Taifa lao na kutoa Mchango wao kwa Taifa.

Huyu Dada ni lazima aingie ndani ya CCM kujiunga na Jeshi la Wazalendo.
 
Attachments

  • 1739690982557_1.jpg
    1739690982557_1.jpg
    249.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom