Pre GE2025 Rose Mayemba: Kampeni ya "No reforms, No Election" haitakuwa rahisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dada yangu huyo wa ihalula uwemba njombe, namkubali sana nilifanya nae kampeni ya lowasa ulipo tupo mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu, aondoke chadema wanamdharau sababu hatoki kaskazini
Kwahiyo mpaka hapo alipo kwenye podium amedharaulika!
Ukabila utakuuwa
 
nyooko !! fala kweli wewe ....keki ya taifa lini itagawiwa Kwa usawa ?? kwenye utawala wa mafisi CCM. ??

Keki ya taifa wanakula wanasiasa tu wa nchi hii.....
 
Sema cha kujifunza kwenye maisha ni kuwa usipende sana kujipa umuhimu isivyo stahili kwenye maisha ya watu kana kwamba bila wewe kila kitu kitasimama.
Heb check hizi harakat za chadema, bila Mbowe, Bila Mdee, Bila Bulaya, Bila akina Nani sijui. Yan kila kitu kinakwenda.
Watu wana cover tu nafasi na gurudumu linasonga. Aisee
 
Nimesikiliza wanasiasa wengi sana hapa Tanzania na Africa huyu binti ni tunu na hazina ya Taifa.

Rose Mayemba nimempenda bure huyu dada.

View attachment 3237575
Ana kitu gani cha ziada?
Ahahahahaha!!
 
Kaolewa?
 
Anamume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…