Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Huwa natamani nijue wewe mtu kichwani kama una ubongo ama lah. It's hard to believe if you have brain at allChadema wanapenda vurugu!
Mmm hapana Rais ana wajibu kukemea viashiria uvunjifu amani....siosawa kumkashifu nasimama na Rais kwa hiliRose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anahojiwa na RCO wa Mkoa huo kwa tuhuma nzito za kumkashifu Rais wa Tanzania kwa kutweet mambo ya Katiba mpya mtandaoni....
wewe ni mwehuSubiri uone. Ataenda zake soon
Akizingua Tutamyoosha kama mtanguliziKazi imeanza, kulikuwa na super dikteta huyu ni dikteta kamili
Bila sababu yoyote ilhali kasema uwezo wa Rais ni mdogo?Kakamatwa huyo dada yupo ndani bila sababu yeyote
Yale mambo ya kuwekwa korokoroni yameanza tena
Hivi viapo vina nguvu katika ulimwengu mwngine. Mwenzake yuko anapats haki yake huko aliko.😀 Hatachukua round mtamfanyaje nyie nyumbu?. Mama yuko in a right track sasa miruzi yenu ilianza kumpoteza maboya. Tena anatakiwa akaze zaidi na zaidi.
Kakamatwa huyo dada yupo ndani bila sababu yeyote
Yale mambo ya kuwekwa korokoroni yameanza tena
Bila sababu yoyote ilhali kasema uwezo wa Rais ni mdogo?
Pambana dada hakika usirudi nyuma kuusema ukweli.Yaani tunataka kweli kurudi kule kule?
----
Update: 1
JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake lina dhamana na ataachiwa nje ya dhamana.
Update: 2
Rose Mayemba amepata dhamana baada ya kutoa maelezo kwa muda wa saa mbili na kutakiwa kuripoti Ofisi ya RCO Njombe siku ya Jumatatu saa 2:00.
Ujumbe unaodaiwa kumuingiza matatani Rose Mayemba
View attachment 1845997
Hahahaaaa........ salaam bwashee!Huwa natamani nijue wewe mtu kichwani kama una ubongo ama lah. It's hard to believe if you have brain at all
Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Njombe mh Rose Mayemba ameachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti tena ofisini kwa RCO siku ya Jumatatu.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
🤣🤣Vichokochoko viendelee
Wewe ndiyo hufai !! Kosa la huyo dada liko wapi ?! .CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo. Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu. Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti...www.jamiiforums.com
Kwenye katiba tuko pamoja bwashee.Asante kwa taarifa
Dhamiri yako haikusuti kabisa!? Hata kama tunatumia pen names lakini kila binadamu anaongozwa na dhamiri. Hivi hujisikii hatia ndani ya nafsi yako kwa kuacha kutumia akili na kuruhusu kuidhalilisha nafsi yako?Hahahaaaa........ salaam bwashee!