Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

Kuvurunda..?huo ni mtizamo wako,hawakuvurunda,imebaki hiyo rasimu hatua moja mbele,,kupigiwa kura na wananchi..
rasimu iliyopitishwa sio ya wananchi bali ni ya ccm ambao waliondoa vipengele vya rasimu ya warioba wakaweka vya kwao
 
tunakoendea sisi raia ndio tutaanza kuwacharaza viboko...kuna mahala watu waliona kama JPM anawaonea lakini sasa inaonekana mnahitaji kinabo zaidi ili mbegu mnayoipanda isiote...
 
😀 Hatachukua round mtamfanyaje nyie nyumbu?. Mama yuko in a right track sasa miruzi yenu ilianza kumpoteza maboya. Tena anatakiwa akaze zaidi na zaidi.

Matendo yake yatamuadhibu sawia...!

Bahati mbaya ni kuwa mnaanza kumdanganya huyu mama na yeye amekubali kudanganyika na nyie washauri wake msio na mwanga wa ufahamu...

Njia aliyopitia Mwendazake Magufuli ndiyo atakayopitia yeye asipojichunga...

Hii wala haina uhusiano wowote na CHADEMA. Ni juu yake kuamua njia sahihi ya kuiendea...
 
Chadema hawa walioshindwa mpaka sasa kusimama na kudai justice for TL (Lissu) mbele ya JPM mpaka sasa..
Chadema hawa walioshindwa mpaka leo kushinikiza wapi alipo Ben Saanane na hatua zichukuliwe kwa waliompoteza au kumuua.
Chadema hawa ambao mpaka sasa hawajui wachukue hatua gani juu ya wabunge haramu walioko bungeni..
Chadema hawa walioshindwa kushinikiza chama chao kutoa bank report yao inayoonyesha hawapokei ruzuku kutoka serikalini kutokana na uwepo wa wabunge wao bandia..

Kifupi CDM bado ni wachanga sana kwenye siasa na kumejaa utoto mwingi saaana...hawapo tayari kupewa dola kama chama mbadala..
 
Huyo katoa kashfa kwa Rais anatakiwa ashikishwe adabu
 
Huu WOGA wa watawala sasa is TOO MUCH...

Iweje wanaogopa hata vivuli vyao wenyewe? Hiyo tweet ina kashfa gani kwa Rais? Look, This is too much. FEAR OF NOTHING...!!!!

Na WOGA huu una maana kubwa sana kwa PEOPLE'S POWER kuelekea kupata ushindi dhidi ya utawala huu chini ya CCM hii iliyokwisha kuchakaa ...

CHADEMA shikilieni hapo hapo. Ushindi uko mikononi mwenu. Mama huyu ndio kiashiria cha alama ya mwisho cha utawala wa siasa za CCM Tanzania...!!
 
Mizizi ya yule jamaa still ingalipo
 
Hizi ni hasira za Mungu baada ya chadema kushangilia kifo cha Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…