Yaani tunataka kweli kurudi kule kule?
----
Update: 1
JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe
Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake lina dhamana na ataachiwa nje ya dhamana.
Update: 2
Rose Mayemba amepata dhamana baada ya kutoa maelezo kwa muda wa saa mbili na kutakiwa kuripoti Ofisi ya RCO Njombe siku ya Jumatatu saa 2:00.
Ujumbe unaodaiwa kumuingiza matatani Rose Mayemba
View attachment 1845997