PostGE2025 Rose Mayemba na John Pambalu waomba hifadhi Kenya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Soma jinsi utawala huu unavyolilia damu za watu hata zile za makada wao kama Humphrey Polepole.

Ni uamuzi mzuri kwa baadhi ya makada wa CHADEMA kuondoka nchini kupitia Kenya.

Wengine kama kina John Pambalu walivunjwa miguu na kutupwa porini.

TOKA MAKTABA:

 
Nyumbu ndio mnawaletea Naaskari wa kuwaua na kuua familia zao pande zote za Tanzania?

Haohao Nyumbu leo hii mnaomba Maridhiano nao🤣🤣🤣
Wao wanaogopa kufa ila wanawatuma Nyumbu waingie barabarani kufanya uhalifu

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba hawana akili
 
Kwa hii style hii ya nyonya damu mataifa duniani yajiandae kuwapokea wanaotishwa na kuhatarishiwa maisha na nyonya damu wanyumbani kwetu.
 
12 November 2025

#LIVE : "BLOODSHED HAS CAUSED US TO FLEE FROM OUR COUNTRY TANZANIA !​


View: https://m.youtube.com/watch?v=18sLHBc32aAJohn Pambalu, Rose Mayemba, Twaha Mwaipaya are among thousands of Tanzanian who decided to cross the border and seek refugee in neighbouring country of Kenya

The renowned international human rights lawyer Prof. Professor George Wajackoyah has appeal to the international community to intervene and give shelter to the Tanzanians who have managed to cross the border into Kenya and other neighbouring countries like Malawi, Zambia etc
 
Tulikuwa kimbilio hadi tumeanza kuomba hifadhi
 
Wao wanaogopa kufa ila wanawatuma Nyumbu waingie barabarani kufanya uhalifu

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba hawana akili.
mbona wewe ni chakula cha abdul kitambo tunajua sema tu sababu wacenge hamzai
 
Kwa hii style hii ya nyonya damu mataifa duniani yajiandae kuwapokea wanaotishwa na kuhatarishiwa maisha na nyonya damu wanyumbani kwetu.
Tuna tatizo ni kweli, tunahitajia ufumbuzi

Ila ask yourself, kenya kumetokea killlings zimetokea kenya just recently against opponent wa Ruto, wao wamekimbilia wapi?
 
Waweke michongo jinsi ya kuomba ukimbizi Zimbabwe, Lebanon,Syria na Japan
 
Hawa wameshtuka mapema kwamba kina Maria Sarungi na Mange wamewafanya chambo kwahiyo na wao wameamua kujiongeza kimtindo

Tuliobakia ndo tumeachiwa msala hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…