Rose Mhando: Magufuli tubebe watanzania tuna imani nawe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando.

Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe"

Siasa ni sayansi.

Maendeleo hayana vyama!

Kweli ccm mmechoka, mpaka habari za Rose Muhando mnazileta JF?.
 
Rose muhando umesahau ulikua unakufa Kenya Uhuru kenyata akakusaidia umepona leo hii unamgeukia shetani?
 
Rose Mhando mgeukie Mungu, achana na huko ulikokwenda! Ndio utarudia tena kuwa teja na kuzimu shetani anakupeleka!
 
Baada ya kubebwa na yesu anamtegemea mwanadamu.

Maandiko yanasema alaaniwe amtegemeaye Mwanadamu.

Huyu mama anakula maunga na mabangi huo ndio mtaji wa CCM.
 
Jukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando.

Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe"

Siasa ni sayansi.

Maendeleo hayana vyama!
Watu wanakuja kuangalia wasanii wala sio ccm, sasa mmeona mlete na wasanii wa injili waje na waumini

TAML anatembea na KAFLASHI KAMOJA TU ANAWATOA JASHO 😛 😛 😛 😛 😀 😀 😀
 
Kweli ccm mmechoka, mpaka habari za Rose Muhando mnazileta JF?.
Niko Tunduma, wazambia wamevuka mpaka kwa wingi kuona shoo ya bure ya Diamond. Wananchi hapa wanasema shoo tunacheza ya bure ila kura yetu siyo Kwa Magufuli na Silinde wake. Tuna jambo letu Tynduma na hatujawahi kufanya makosa kama Jamaa wa Karatu.
 
Ngoja tuone!
 
Rose muhando umesahau ulikua unakufa Kenya Uhuru kenyata akakusaidia umepona leo hii unamgeukia shetani?
Madawa ya kulevya yalitaka kumuua?
CCM kweli *****yanagonga chupi,Hadi mnachukua MATEJA!
 
Back
Top Bottom