johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Safi sana ni katika kumtukuza Mungu!Nasisi tutakuja na kaswida ya Lissu tubebe
Bwashee maendeleo hayana vyama!Rose muhando umesahau ulikua unakufa Kenya Uhuru kenyata akakusaidia umepona leo hii unamgeukia shetani?
Watu wanakuja kuangalia wasanii wala sio ccm, sasa mmeona mlete na wasanii wa injili waje na wauminiJukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando.
Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe"
Siasa ni sayansi.
Maendeleo hayana vyama!
Niko Tunduma, wazambia wamevuka mpaka kwa wingi kuona shoo ya bure ya Diamond. Wananchi hapa wanasema shoo tunacheza ya bure ila kura yetu siyo Kwa Magufuli na Silinde wake. Tuna jambo letu Tynduma na hatujawahi kufanya makosa kama Jamaa wa Karatu.Kweli ccm mmechoka, mpaka habari za Rose Muhando mnazileta JF?.
Ngoja tuone!Niko Tunduma, wazambia wamevuka mpaka kwa wingi kuona shoo ya bure ya Diamond. Wananchi hapa wanasema shoo tunacheza ya bure ila kura yetu siyo Kwa Magufuli na Silinde wake. Tuna jambo letu Tynduma na hatujawahi kufanya makosa kama Jamaa wa Karatu.
Madawa ya kulevya yalitaka kumuua?Rose muhando umesahau ulikua unakufa Kenya Uhuru kenyata akakusaidia umepona leo hii unamgeukia shetani?
Uchaguzi huu hata mmlete Shetani sisi na LISSU TU...