Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Watanzania muache Uchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mziki wa injili ulishamshinda....hana thamani kwa sasa hapa tz na game yake ilishapita.....tumewakabidhi wakenya mmalizane naye.
Ndio kurogwa kwenyewe uko walahiMbona hatuoni picha za kutolewa uchawi? Mtu ajidunge mseme karogwa!!!???
Sanaa tupu hizi,akitoka hapo anavuta chake akaendelee kula unga wake...
Walokole ni watu wanafiki no. 1 dunia hii.....
Mimi ni mnafiki ila walokole wamenipita mbali sana!
Hawa watu wanaongoza kwa uchawi dunia nzima. 92% .That's why they export wizards and sorcerers.
Keshamaliziwa na Ng'ang'a nafikiri hadi chuma kalala ndani.mziki wa injili ulishamshinda....hana thamani kwa sasa hapa tz na game yake ilishapita.....tumewakabidhi wakenya mmalizane naye.