Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Arnold mrass cannambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
4,067
Reaction score
2,640


Watanzania muache Uchawi.
FB_IMG_15427918734952187.jpeg
 
huyu dada sijui amekumbwa na nini jamani, watu wamekazana kusema anavuta unga lakini hakuna mwenye ushahid, i wish kujua nini hasa tatizo lake, mana tatizo lilianzia miguuni kuna kipindi alikuwa hawezi hata kuvaa viatu anapanda jukwaani kuimba peku peku miguu inakuwa kama inavidonda alafu imevimba, sasahivi naona hata mwili wake wote hauko sawa
 
huyu alipaswa kuwa Hollywood huyu...maigizo ayaweza sana
 
Hii ni zaidi ya picha kihindi
Rose mrudie Mungu wako
Umejiloga mwenyewe
Hiyo mIkono vipi?
Afya mgogoro Rose ni nini lakini mamii!!?
 
Back
Top Bottom