Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya


MTU teja ale unga kwa starehe zake unasingizia mapepo!! Wangapi wamebadili dili hawajapatwa na hayo mapepo, au wale wanaodondokaga wote washafanya abomination nadhani unamsaidia kula unga wallahi!!
 
Aliacha amepokea pesa za watu akaenda Chato kwenye kampeni za mr. Pombe, sasa yanamrudia. Na yule mtoto Amani aliyemdhihaki je? Aliacha kuimba nyimbo za kusifu akaingia kwenye taarabu za masimango. karma hiyo.
 
Ni kweli dada yetu ROSE ni mgonjwa na anahitaji maombezi ya hali ya juu saaana.
Lakini pia CCM ni laana, msanii ukijihusisha na CCM unakuwa umejimaliza bila kujua.Tangu siku aliposema kwa kinywa chake kwamba amejiunga na ccm basi from that day ROSE akawa ame loose control.Sooo saaaad.
Jambo la muhimu ni KUMUOMBEA tuuuu, MUNGU atamsamehe na atamponya.
 
Je, wewe binafsi unamfahamu Rose? Umeshawahi kuonana naye live miaka kumi iliyopita? Je umeshawahi kukutana naye live mwaka huu ama mwaka jana?

Kuna mateso makubwa sana ya kisaikolojia jamii yako ikiamua kukutenga kwa namna yoyote ile.! Bora uwe hauna jina kubwa lakini ukiwa na jina kubwa utaomba ardhi ipasuke utumbikie upotee
Rose ametumika na waliomtumia wamemchoka ama wamempumzisha kwa muda ili apate nguvu warudi tena kumtumia,
Unajua mateso aliyopitia Rehema chalamila Ray C.
Ulimsikia Judith Wambura aliposema alitamani kujiua..?
Omba kuwa na jina la kawaida tu utafurahia maisha yako kwa amani lakini ukiwa maarufu kuna gharama kubwa sana inaambatana na umaarufu wako.
Mtu yoyote huvuna alichopanda ukipanda mihogo usitegemee utavuna miwa!! Wanapoanza kuimba lengo kubwa wawe maarufu na nyimbo zao zisikike kila kona ya dunia sasa hayo mateso wamejichagulia wenyewe acha wapambane nayo!!
 
Ukiendekeza sana dini mwishowe unakuwa kama huyu bibie….matukio mengi sana tumeyaona kwa waliokuwa wanajifanya wanamjuwa Mungu shinda wenzao. Wote wameishia hivi hivi na wengine kuwa vichaa kabisa. Ndiyo maana mtu akiniambia nimeokoka huwa namuangalia tu kwani najuwa siku zake za uendawazimu haziko mbali. Mtu utaokokaje ikiwa bado unatombana, mbea kupindukia, mnafiki wa kujifanya unamjuwa Mungu shinda wenzako, na unamatamanio? Walokole Wacheni kujidanganya, mnajilaani hivyo mjuwe, shauri zenu.


😂😂😂😀😀nakuunga mkono😅😅😅nimecheka sana.. mlokole akipata upenyo unakuta anakupa mistari freshhhy kbs
 
Msanii nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania Bi Rose Muhando ameibuka katika kanisa moja nchini Kenya akiwa amechomwa moto mikono na sehemu mbalimbali za mwili wake huku uso wake ukiwa na majeraha kiasi cha kuonekana mithili ya kinyago ikiaminika ni sababu za ushirikina kwani alitoweka nyumbani kwake miezi mitatu ambapo alikutwa akizurura mitaani na barabarani akiwa hajielewi.

Fuatilia link hii ujionee



Mungu wetu ni muaminifu, ukimtumikia kwa uaminifu kamwe hatakuacha ibilisi akuchezee....

Halafu yule mchungaji noma kamsukuma
 
mwanamke mzima unawatotot wakubwa..unabahatika kuzikamata pesa unaanza kujiingiza kwenye midawa ya kulevya..hayo nd malipo yake.. hiv mtu mzima km Rose unaanzaje kufanya maupuuzi haya jaman... sijui alivuka stages za ujana? 😤
 
Tupo wengi tunao umizwa na hali yake tatizo hasaidiki na haeleweki unaweza kumuamini kwa dakika mbili ukiwa nae ana kwa ana ukimpa kisogo, ndio basi tena anatakiwa apate ushauri wa kimatibabu kwa afya yake.! Kisha mtu anayehusika na saikolojia., kisha apate menejiment nzuri ya kazi zake..
Ndani yake bado kuna kazi njema sana lakini mwili wake ndio umeshaharibiwa.
Huyo wampeleke sober house tatizo wachungaji feki wameshamfanya chumio!! Wapige hela
 
Mtu yoyote huvuna alichopanda ukipanda mihogo usitegemee utavuna miwa!! Wanapoanza kuimba lengo kubwa wawe maarufu na nyimbo zao zisikike kila kona ya dunia sasa hayo mateso wamejichagulia wenyewe acha wapambane nayo!!
Uko sahihi, kabisa! Mwanzo watu wengi wanapotafuta umaarufu huwa hawajui yanayoambatana na umaarufu. Wanakuja kushtukia yamewapata wasiyo yataraji..
Unafikiri uchafu wa Amber ruty nani angehangaika nao kama asingekuwa amejipatia umaarufu?
Unafikiri princess Dyna. Nani angekimbizana naye mpaka kifo chake kama asingekuwa maarufu?

Vijana wetu wengi leo hawajui nini kitakachofuata baadae.! Umaarufu ni mzuri ukiwa na watu madhubuti nyuma yako (team). Wanaojua unakula nini, unavaa nini , unaenda wapi kukutana na nani, na kwa dhumuni gani, unamuhusiano na nani na kwa dhumuni gani..
Sabbu yoyote katika hayo hapo juu linaweza kukubomoa au kukujenga. Zaidi..

Utawala ama management kwa mtu maarufu ni muhimu sana. Lakini vijana wetu wachache sana wanaotambua hilo..
Hongera kwa Diamond platnumz
 
Msama sio ama wakt ule anaKubebesha bwimbwi hakuwa mbaya tatz lako ulikuwa unauonja, hukukaa nao mbali kama diamond mwenzako hakuugusa kbsa wamuona leo anakula nchi
Unataka kutema grukozi ndio tatizo
 
Tupo jukwaa la siasa!! Au hizi ni siasa za dini??? Anyways wachungaji wa Kenya ni mabingwa wakutengeneza matukio ili kupata umashuhuri,huwa wanashindana na waganga wa jadi kutengeneza shuhuda feki. Rose inasemekana madawa ya kulevya yamemwaribu na sote tunajua ukijiingiza mule nini hutokea.
 
Sifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi huwa anakuwa hana ufahamu wa mambo yanayo endelea kwenye zoezi zima, ndio maana mara nyingi watu wanao pagawa mapepo ujirusha rusha wengine paka wana jijeruhi basipo kujuwa. Wengine uchana mavazi na kubaki uchi pia hata kupigana na kutukana watumishi wa Mungu pasipo kufahamu.

Ukiangalia hii video, kuanzia 0.22 paka 0.23 unaweza kuona kama Rose anajaribu kushusha gauni au nguo chini kujisitiri. Tena 1.45 paka 1.48 Unaweza kuona kama mchungaji anamkandamiza kwa nguvu Rose mdomoni, lakini Rose anajaribu kumwondoa mkono mchungaji. nadhani hii ni ishara kwamba " tafadhali unaniumiza". Pia 2.00 paka 2.01 kuna mhudumu amemtupia Rose kitu kama khanga, alafu Rose akajaribu kama kuivuta kwa juu ili kujisitiri. Baada ya kusema hivyo, sina shaka dada yetu Rose alikuwa anajielewa kwenye zoezi zima. Je kitu kama hichi kinaweza kutokea? mtu kupagawa mapepo na wati huo huo kujitambua!

Nakaribisha watumishi wote na watu wenye uwelewa kwenye hii mada.
Inawezekana kama pepo mwenyewe ndo wewe au yeye
 
sijui hawa waimbaji wa kike wa kibongo baada ya kupata umaarufu huwa wanakumbwa na pepo gani
Huwa wanajisahau na kujikuta wanaipenda zaidi dunia na fahari zake..huyu mama si alikuwa anatumia prado huyu
 
mziki wa injili ulishamshinda....hana thamani kwa sasa hapa tz na game yake ilishapita.....tumewakabidhi wakenya mmalizane naye.
Ndugu wewe ni muimbaji wa muziki wa Injili? Kama ndio iulize nafsi yako kwa neema ya Mungu endapo ulichoandika ni sahihi.
Kama sio nikujilishe kwenye "Gospel music"

Kuna vitu vikuu vitatu.!
● karama/kipaji ambacho Mungu huweka ndani ya mtu. It does not mattter huyo mtu anapita kwenye tatizo lipi. Kamwe hiyo karama haiwezi kuondolewa ndani yake.
● Ujuzi, Elimu wengi wanajifunza kuimba kupitia shule za muziki hii inaweza kuondoka wakati wowote. Ukichoka
■■
NEEMA YA MUNGU "spiritual connection"
Kwenye Muziki wa injili Mungu huweka kitu pekee cha kukuunganisha naye katika ujumbe wako, bila hiki muziki wako ni kelele, jiulize Tanzania kuna wanamuziki wangapi wa Gospel kwanini basi Anga la muziki wa injili lisisikike majina tofauti tofauti?
 
Back
Top Bottom