Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
MTU teja ale unga kwa starehe zake unasingizia mapepo!! Wangapi wamebadili dili hawajapatwa na hayo mapepo, au wale wanaodondokaga wote washafanya abomination nadhani unamsaidia kula unga wallahi!!Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya
Mtu yoyote huvuna alichopanda ukipanda mihogo usitegemee utavuna miwa!! Wanapoanza kuimba lengo kubwa wawe maarufu na nyimbo zao zisikike kila kona ya dunia sasa hayo mateso wamejichagulia wenyewe acha wapambane nayo!!Je, wewe binafsi unamfahamu Rose? Umeshawahi kuonana naye live miaka kumi iliyopita? Je umeshawahi kukutana naye live mwaka huu ama mwaka jana?
Kuna mateso makubwa sana ya kisaikolojia jamii yako ikiamua kukutenga kwa namna yoyote ile.! Bora uwe hauna jina kubwa lakini ukiwa na jina kubwa utaomba ardhi ipasuke utumbikie upotee
Rose ametumika na waliomtumia wamemchoka ama wamempumzisha kwa muda ili apate nguvu warudi tena kumtumia,
Unajua mateso aliyopitia Rehema chalamila Ray C.
Ulimsikia Judith Wambura aliposema alitamani kujiua..?
Omba kuwa na jina la kawaida tu utafurahia maisha yako kwa amani lakini ukiwa maarufu kuna gharama kubwa sana inaambatana na umaarufu wako.
Ukiendekeza sana dini mwishowe unakuwa kama huyu bibie….matukio mengi sana tumeyaona kwa waliokuwa wanajifanya wanamjuwa Mungu shinda wenzao. Wote wameishia hivi hivi na wengine kuwa vichaa kabisa. Ndiyo maana mtu akiniambia nimeokoka huwa namuangalia tu kwani najuwa siku zake za uendawazimu haziko mbali. Mtu utaokokaje ikiwa bado unatombana, mbea kupindukia, mnafiki wa kujifanya unamjuwa Mungu shinda wenzako, na unamatamanio? Walokole Wacheni kujidanganya, mnajilaani hivyo mjuwe, shauri zenu.
Halafu yule mchungaji noma kamsukumaMsanii nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania Bi Rose Muhando ameibuka katika kanisa moja nchini Kenya akiwa amechomwa moto mikono na sehemu mbalimbali za mwili wake huku uso wake ukiwa na majeraha kiasi cha kuonekana mithili ya kinyago ikiaminika ni sababu za ushirikina kwani alitoweka nyumbani kwake miezi mitatu ambapo alikutwa akizurura mitaani na barabarani akiwa hajielewi.
Fuatilia link hii ujionee
Mungu wetu ni muaminifu, ukimtumikia kwa uaminifu kamwe hatakuacha ibilisi akuchezee....
Huyo wampeleke sober house tatizo wachungaji feki wameshamfanya chumio!! Wapige helaTupo wengi tunao umizwa na hali yake tatizo hasaidiki na haeleweki unaweza kumuamini kwa dakika mbili ukiwa nae ana kwa ana ukimpa kisogo, ndio basi tena anatakiwa apate ushauri wa kimatibabu kwa afya yake.! Kisha mtu anayehusika na saikolojia., kisha apate menejiment nzuri ya kazi zake..
Ndani yake bado kuna kazi njema sana lakini mwili wake ndio umeshaharibiwa.
Uko sahihi, kabisa! Mwanzo watu wengi wanapotafuta umaarufu huwa hawajui yanayoambatana na umaarufu. Wanakuja kushtukia yamewapata wasiyo yataraji..Mtu yoyote huvuna alichopanda ukipanda mihogo usitegemee utavuna miwa!! Wanapoanza kuimba lengo kubwa wawe maarufu na nyimbo zao zisikike kila kona ya dunia sasa hayo mateso wamejichagulia wenyewe acha wapambane nayo!!
Tumwombee nini sasa,mbona yule abayeomba kuombewa hatuoni tija ya kuombewa kwake,maombi bila ufunuo ni kipoteza muda,Rozi nyimbo zake za mwanzo alianza kulaumu waliomzalisha na kumkimbia,sio aliyemzalisha ni waliomzalishaHiyo ni sehemu tuu ya mapito.
Tumuombee.
P
Unataka kutema grukozi ndio tatizoMsama sio ama wakt ule anaKubebesha bwimbwi hakuwa mbaya tatz lako ulikuwa unauonja, hukukaa nao mbali kama diamond mwenzako hakuugusa kbsa wamuona leo anakula nchi
Inawezekana kama pepo mwenyewe ndo wewe au yeyeSifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi huwa anakuwa hana ufahamu wa mambo yanayo endelea kwenye zoezi zima, ndio maana mara nyingi watu wanao pagawa mapepo ujirusha rusha wengine paka wana jijeruhi basipo kujuwa. Wengine uchana mavazi na kubaki uchi pia hata kupigana na kutukana watumishi wa Mungu pasipo kufahamu.
Ukiangalia hii video, kuanzia 0.22 paka 0.23 unaweza kuona kama Rose anajaribu kushusha gauni au nguo chini kujisitiri. Tena 1.45 paka 1.48 Unaweza kuona kama mchungaji anamkandamiza kwa nguvu Rose mdomoni, lakini Rose anajaribu kumwondoa mkono mchungaji. nadhani hii ni ishara kwamba " tafadhali unaniumiza". Pia 2.00 paka 2.01 kuna mhudumu amemtupia Rose kitu kama khanga, alafu Rose akajaribu kama kuivuta kwa juu ili kujisitiri. Baada ya kusema hivyo, sina shaka dada yetu Rose alikuwa anajielewa kwenye zoezi zima. Je kitu kama hichi kinaweza kutokea? mtu kupagawa mapepo na wati huo huo kujitambua!
Nakaribisha watumishi wote na watu wenye uwelewa kwenye hii mada.
Ah nikajua mzee baba utasema ni sehemu ya filamu mpya ya bongo movie...Hiyo ni sehemu tuu ya mapito.
Tumuombee.
P
Huwa wanajisahau na kujikuta wanaipenda zaidi dunia na fahari zake..huyu mama si alikuwa anatumia prado huyusijui hawa waimbaji wa kike wa kibongo baada ya kupata umaarufu huwa wanakumbwa na pepo gani
Ndugu wewe ni muimbaji wa muziki wa Injili? Kama ndio iulize nafsi yako kwa neema ya Mungu endapo ulichoandika ni sahihi.mziki wa injili ulishamshinda....hana thamani kwa sasa hapa tz na game yake ilishapita.....tumewakabidhi wakenya mmalizane naye.