moyo unaniuma kumuona dada rose katika hali hiyo
najua kila mmoja anasema lake mwingine sijui anavuta bangi oooh mara karogwa lakini ukweli anaujua Mungu na yeye mwenyewe
mtu apitiapo jaribu wengi humsema ovyo wengine utasikia ana laana huyo na wengi kamuasi Mungu huyo hii ni kawaida sana maana hata ayubu yalimkuta
wengi humu hufurahia kumuona yuko hivyo na wengine humsema ovyo kwa sababu za kimuhemko tu ya kiimani/dini tofauti na dada rose
dada rose i appreciate you so much i believe God will make you standing again coz you did his task that he sent you to do he will wipe your tears don't worry God loves you than they know....amen
my heart is full of anguish about you......but don't worry let them say their nonsense God will shut up their mouths