Philipo patrick
Senior Member
- Aug 17, 2018
- 195
- 218
Poor mind discuss people...Watu wa Dodoma hasa viunga vya Kikuyu mnamjua vzr sana huyu mwadada Rose Mhando.
Yuko yukoje tafadhari ?
Ana familia?
Nani humgegeda kikonki konki ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor mind discuss people...Watu wa Dodoma hasa viunga vya Kikuyu mnamjua vzr sana huyu mwadada Rose Mhando.
Yuko yukoje tafadhari ?
Ana familia?
Nani humgegeda kikonki konki ?
Jibu mubashara😂😂😂😂😂😂😂😂Kwan we shida yako nn...?
Habari za kimbeya hizi !!Watu wa Dodoma hasa viunga vya Kikuyu mnamjua vzr sana huyu mwadada Rose Mhando.
Yuko yukoje tafadhari ?
Ana familia?
Nani humgegeda kikonki konki ?
Tuanze na wewe kwanza...Watu wa Dodoma hasa viunga vya Kikuyu mnamjua vzr sana huyu mwadada Rose Mhando.
Yuko yukoje tafadhari ?
Ana familia?
Nani humgegeda kikonki konki ?
Naona umewahi sitiNdugu zake hawataki aimbe[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na hao watoto wote kazalishwa na watoto wa Wachungaji kisha wakamtelekeza.Ana watoto 3 wote wa kike.
Ila nadhani kama hayatuhusu kabisa.
Tufatilie ya kwetu.
Unamtakia nini maisha yake😀😀😀 Jamani
Wewe askariii acha kutumia neno ronja,huku ni uraiani aiseeee muraaHadi sasa nasikia ronja tu sina taarifa kamili, sababu ni nini ?
dogo niaje aisee?Hadi sasa nasikia ronja tu sina taarifa kamili, sababu ni nini ?
ulimuunga wewe?nasikia ni freemason !
Hapo sasaUnamtakia nini maisha yake
Hakika hii ni sanaa mkuu.
Ukiangalia kwa makini hiyo clip, Rose anapoanguka anarekebisha gauni kiaina kwa mkono mmoja...pepo gani linajali mkao wa gauni!?
Walokole Mungu anawaona!
hii biashara imenoga sana Afrika kote.