Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Sanaa tupu hizi,akitoka hapo anavuta chake akaendelee kula unga wake...

Walokole ni watu wanafiki no. 1 dunia hii.....

Mimi ni mnafiki ila walokole wamenipita mbali sana!
Hakika hii ni sanaa mkuu.

Ukiangalia kwa makini hiyo clip, Rose anapoanguka anarekebisha gauni kiaina kwa mkono mmoja...pepo gani linajali mkao wa gauni!?

Walokole Mungu anawaona!
 
Kweli mkuu....tatizo letu ni kunyoosha vidole moja kwa moja... ...
Hata huo unga kuna waliotiwa kwenye hilo janga bila kupenda ... kwa kupitia watu wao wa karibu... .... ushindani na uadui upo kila kada ...
Rose ana kipindi kigumu sana...inaonyesha anajitahidi lakini hana msaada .... ....I wish angetokea mtu ... kumsogeza toka hapo alipo!
Sababu ya Rose kuokoka ni alikuwa mgonjwa sana!
Sasa.... ...
 
Mimi niliambiwa kitambo kabla mambo hayajavuja kwenye media, kipindi hicho yupo kwenye chat kwamba anatumia madawa na unataka kuacha ila shida dawa za methadone sheria ukachomee kituon, yeye akawa hataki anaona aibu. Mwisho wa siku ndio uteja huo!! Wewe hujui kwamba mateja huvimba miguu?? Na mwisho wa siku mwili mzima!!

Na aliyenambia ni mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha Muhimbili kuna had I wabunge wanapata hiyo dozi mkuu unaweza usiamini lakini!!
 
Wafrika vichwani sijui kuna nini?
Rose pia amekuwa conwoman kwa kushirikiana na pastor Ng'ang'a kuwahadaa wamama wanaoamini dini kwa roho yao yote....hii biashara imenoga sana Afrika kote.
 
acha apambane na hali yake.... btw nimegundua kila msanii mtz anapoona mziki unaanza kumshinda anakimbilia kenya. Mister Nice anaendeleaje na maisha huko kenya?
Amekuwa chokoraa huko Korogocho anawaburidisha walevi chakari wa chang'aa, naona akielekea kuwa omba omba.
 
Pale alipoamia tu CCM yale mapepo ndo yakaamua kuweka kambi rasmi kwenye mwili wake
 
Kama sababu ni kuona aibu...shida anayo...
Hata ray c alikataa akakimbilia Kenya..

Lakini... ....
 
Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…