Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Inawezekana.

MAPEPO hayana baunsa, maana hata kwenye maandiko matakatifu tumepewa visa vyao (Mtume Muhammad S.W kipenzi cha mungu, alisha testiwa, na akajaa) sembuse sisi wa sasa hivi.

Ukizingatia UNAFIKI sasa hivi ndio kama DINI mpya Tanzania (wana CCM). Mtu akienda kwa FUNDI kukutandika msumari, unajaa vizuri bila hata pingamizi[emoji18]
 
Nimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa na mapepo , je ni yeye kweli ?
hakuna kitu.ni usanii tu hapo
Screenshot_20181121-145615.jpg
 
Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya

Inawezekana.

MAPEPO hayana baunsa, maana hata kwenye maandiko matakatifu tumepewa visa vyao (Mtume Muhammad S.W kipenzi cha mungu, alisha testiwa, na akajaa) sembuse sisi wa sasa hivi.

Ukizingatia UNAFIKI sasa hivi ndio kama DINI mpya Tanzania (wana CCM). Mtu akienda kwa FUNDI kukutandika msumari, unajaa vizuri bila hata pingamizi[emoji18]
Unamaanisha Mtume aliwahi kupagawa??
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] sasa video iko wapi aaaghh
 
Rose anajichanganya! Hajatulia kwenye imani yake!
- Hana washauri wazuri
- ningemshauri apate mwenzi wake kama Hana awe anafarijiwa kwa namna moja au nyingine.
- asitishe Huduma hata kwa mwaka mmoja ili apate kutafakari maisha yake kihufuma na aweze PIA kumlilia MUNGU
- afu arudi kwenye Huduma.
 
Back
Top Bottom