Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why walahiMrs. Walahi. Natamani kukuwalahi kitandani
Mental insanity at it's highest peak!
Back in her greenish days, rafiki yangu aliwahi kunitonya kuwa huyo bibie anatumia marijuana kuwezesha zoezi na show.
Asee!Hivi mtu anaweza kuigiza kuunguza mikono yake?Hebu angalia vzr picha hiyo kuliko kusema bila kufikirihuyu alipaswa kuwa Hollywood huyu...maigizo ayaweza sana
Hahaha. Ikija kwenye walahi, mimi bingwa. Maulana alinibariki na mkono wa tatu mkubwa na kisha akanipa ujuzi wa kuutumia. Kila ke ninayewalahi naye lazima arudi kutafuta round two.Why walahi
Ili iweje walahi
Utapata faida gani walahi
Tafuta mamdoly au sabuni walahi
Hapa mpaka rehema na neema kutoka kwa Mwenye Enzi Mungu walahiHii ni zaidi ya picha kihindi
Rose mrudie Mungu wako
Umejiloga mwenyewe
Hiyo mIkono vipi?
Afya mgogoro Rose ni nini lakini mamii!!?
Hahaha. Ikija kwenye walahi, mimi bingwa. Maulana alinibariki na mkono wa tatu mkubwa na kisha akanipa ujuzi wa kuutumia. Kila ke ninayewalahi naye lazima arudi kutafuta round two.
Kama bongo ni La Liga kimuziki basi Kenya ni segunda divisionacha apambane na hali yake.... btw nimegundua kila msanii mtz anapoona mziki unaanza kumshinda anakimbilia kenya. Mister Nice anaendeleaje na maisha huko kenya?
Sasa wewe huna kitu inaitwa "sense of humour" kwa kiingereza. Yaani utani kidogo tu imekufanya ukaja juu kwa mitusi.Mbona umenikalia kama shoga walahi
Maana mwanamme kamili hawezi kuongea pumba kwenye uzi kama huu walahi
Mimi naona wewe ni shoga wa kubobea walahi crazy psychopath walahi
Ignore list yangu inakuhusu walahi
Bye shoga la Mombasa walahi
Kwanza alikuwa Muislam safi kabla ya kuanza kuimba nyimbo za injili. Amekuwa akitishia kurudi kwenye imani yake.Kwa ufupi ni kwamba Rose Mhando hajawahi kuokoka, alichojaaliwa na Mungu ni kile kipaji chake cha uimbaji.
Kutokana na kukua kwa jina lake huku akiwa hana msingi wala mafundisho ya Wokovu, kupotea zaidi ilikua ni jambo lisilokwepeka.
Ilisemekana tokea kitambo kwamba ni teja!
Ni kweli ana matatizo na anahitaji msaada mkubwa lakini kwa bahati mbaya huyo anayeonekana akimuombea na yeye pia anahitaji maombi kwani ni mmojawapo wa wale FAKE PASTORS
mkuu kwan kushikwa na pepo ni jambo la ajabu?Nimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa na mapepo , je ni yeye kweli ?
huyu dada hali yake ilianza kuharibika mda mrefu!!!hakuna kitu.ni usanii tu hapoView attachment 941737
weka video tuone wote mkuuHilo pepo lina huruma kweli..
Baada ya kuanguka bado akawa na akili ya kujisitiri asibaki uchi hadi alipoletewa kanga!!!
Kabla ya hapo anaonekana akishusha sketi yake vizuri...
Manabii wa ......
Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya
Daktari asante sana .Sio lazima yawe mapepo, yaweza kuwa convulsion tu. Hapo akapime akiktwa na seizure apewe phenytoin atakuwa poa.
Njaa mbaya sana hakuna cha mapepo maigizo hayo. Ila walokole wanaiga mfumo wa Waganga wa kienyeji hafu Wanawaponda kuwa wao wanamashetaniNimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho