Rose Mhando: Nilitekwa msituni nifanyiwe ngono

Endapo asipomtja huyo kigogo, kamwe mimi siwezi kumuamini. Ni muongo anatafuta umaarufu katika vyombo vya habari.

Hawezi kusema eti ameamua kusema ili Roho yake iwe nyeupe kisha akashindwa kumtaja!!!!!!!

Bado Roho haijawa nyeupe hapo.




MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Huyu rose si ajabu kuna nyimbo mpya anataka kuitoa so anajipeleka peleka kwenye gazeti na kutanganza story zake wananchi tumuonee huruma pindi atakapoachia kazi yake mpya
 
NI MWANAUME GANI HUYO.
jamaa mmoja hivi anaitwa NATHAN,yupo dodoma.aliwahi kuwa meneja wake siku za nyuma kabla ya tapeli alex msama.
umbeya huu ni kwa mujibu wa mcheza shoo wake ambaye alishawahi kuDO na rose muhando.
 
This Story rating:

Ukweli - 1%
Uongo - 99%

Cha ukweli ni hayo majina yaliyotumika tu.
 

msa ......... Haya malizia mwenyewe
 
Aache kujshauwa hapa;
Hao wanaomfanya kwa nini asiwataje?
 
rose huyu huyu? ah labda neno kutekwa lina maana nyingine na kuwavunjia heshima watekaji.
 
aache unafki na yeye amekula hela za watuu za shoo hatokei anajiongelesha ongelesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…