Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Alikula mali za watu huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa mmoja hivi anaitwa NATHAN,yupo dodoma.aliwahi kuwa meneja wake siku za nyuma kabla ya tapeli alex msama.NI MWANAUME GANI HUYO.
NI MWANAUME GANI HUYO? amtaje, labda tuangalie ni wanaume wepi waliofanya kazi na Rose anaosema walikuwa wanamsaidia, tukipata list ya waliokuwa wanafanya naye kazi ndio tutascreen na kupata uyo mwanaume ni yupi...rose anasema anaogopa kumtaja atamuua ila kesi alisharipoti polisi dodoma.polisi dodoma wanalijua jina la huyo mtu.baya lolote likimpata rose, mwanauem huyo wanaye...
Nahisi kama alitoa
Cd imescrach ikaruka baadhi ya maneno muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hapo CD itakua imeskrachi,,,,