Rose Muhando akamatwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli wanakwaya

rose muhando alikuwa zaman sio sasa
anaaibisha watu wa MUNGU :'(
 
Hata mungu hapendi utapeli/dhuruma arudishe pesa za watu
 
Alituita kizazi cha Facebook Na whasap sasa yy kizazi cha matapeli
 
Mbona nshaisikia hiyo kuwa tayari ameshakamilisha taratibu zote za kuhamia Kenya!sasa sijui alikua ndio anamalizia kazi aloianza Tz kwanza mara aibu ikamkumba[emoji41]
Aende wakaungane ni MR.NICE
 
Hii sio mara ya kwanza kusikia kuwa kachukua hela halafu hajatokea. Kama ni kweli inabidi ajitafakari sana
 
Ila tuhuma za Rose Mhando kuwa tapeli ni za muda mrefu sana!!!!!
 
Nadhani kunakuaga na kutokuelewana kati ya Rose na hao Clients wakee, hii sio mara ya kwanza kuingia mitini na hela za watu.
 
Afungwe hata miezi 6 asiwekewe dhamana akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa
 
Unga haujawahi kumuacha mtu salama
mmmh! aiseee! hivi wasanii wengi kwa nini wanapenda sana hiyo kitu! au ndio inawasaidia ku pafom jukwaani.
Huyu amepinda siku nyingi, nakumbuka kipindi kile walidiffer na Hayati Mtikila pale Mtikila alipoponda na kushangaa iweje Rose Mhando aende kushiriki mashindano ya KILI ambayo yalikuwa yanadhaminiwa na bia ya Kilimanjaro.
 
Hachafuliwi! Ni TAPELI MZOEFU, kama si Tapeli kwanini karudisha BAADA KUBANWA? MWIZI !!!
 
Wasanii wengi wanapenda ku perform kwa influence ya bange!
Muuzaji bangi ili akuvutie atachanganya kiasi kidogo sana na unga kiasi kwamba hutagundua.
Ukienda kununua kwingine utaona bangi ya muuzaji wako ndio nzuri na inakupa nguvu,hapo ndio atakapozidisha dozi.
Ukishazoea atakwambia tumia kabisa hii ndio itakupa nguvu,na kweli ukitumia unakuwa freshi hapo ndipo matatizo yanaanza
 
Waimbaji wengi wakubwa ni matapeli ...na waongo ..wanafanya kazi ya Mungu kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…