URBAN MONKEY
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 720
- 1,329
rose muhando alikuwa zaman sio sasa
anaaibisha watu wa MUNGU :'(
anaaibisha watu wa MUNGU :'(
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio anajiharibia bali ni muendelezo wa kujiharibia.Mmh! Mbona anajiharibia.
You're too beautiful to write this broken . Kiswahili ni lugha ya Taifa.Maisha haya jamani, it dosent matter how you start but how you finish ? Mwisho wa Aibu kwa Rose Muhando
Aende wakaungane ni MR.NICEMbona nshaisikia hiyo kuwa tayari ameshakamilisha taratibu zote za kuhamia Kenya!sasa sijui alikua ndio anamalizia kazi aloianza Tz kwanza mara aibu ikamkumba[emoji41]
Kabisa, matapeli wa imani za watu hasa sisi wakristo wanatisha...Jesus has become a big business for some!
mmmh! aiseee! hivi wasanii wengi kwa nini wanapenda sana hiyo kitu! au ndio inawasaidia ku pafom jukwaani.Unga haujawahi kumuacha mtu salama
Wasanii wengi wanapenda ku perform kwa influence ya bange!mmmh! aiseee! hivi wasanii wengi kwa nini wanapenda sana hiyo kitu! au ndio inawasaidia ku pafom jukwaani.
Huyu amepinda siku nyingi, nakumbuka kipindi kile walidiffer na Hayati Mtikila pale Mtikila alipoponda na kushangaa iweje Rose Mhando aende kushiriki mashindano ya KILI ambayo yalikuwa yanadhaminiwa na bia ya Kilimanjaro.
yaelekea unamfahamu kiundani sana mtumishi huyuAfungwe tu, tumechoshwa na tabia za utapeli wake
kabisa mtu wangu yaani wako kibiashara zaidiWaimbaji wengi wakubwa ni matapeli ...na waongo ..wanafanya kazi ya Mungu kibiashara.