Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G Secret Agenda yatikisa soko

Bado anaimba kwa kupiga makelele kama nyimbo zake za zamaani?
 
At least ameweza kusikika tena,sio swala jepesi hili nakwambia.

Kesho na kkutwa akianza kualikwa kwenye majukwaa ya uinjirishaji itakuwa sababu ya nyimbo za nyuma na hizi za sasa.
Kusikika ni promotion mkuu, haihitaji kuwa suala zito au jepesi. Kama huna pesa kufanya promotion huwezi sikika. Pia biashara ya muziki inahitaji effort ya promotion ireflect kwenye mauzo.
 
Kwani ilikuwa je mpaka akapotea kwenye ramani ya dunia?
 
Ukiangalia uimbaji wa Rose, bado hajaelewa vizuri ukristo wa upendo ni nini,
Haachi aongozwe na love...huu sio ukristo sahihi
Umeandika kitu cha tofauti sana mkuu...ila hapa adi uwe na jicho la tatu ndio utang'amua....

Tafadhali ikikupendeza elezea kiundani !!
 
Rose mhando ana kipaji Sana , Hana management tuu , hakuna msanii wa nyimbo za injili anaweza mfikia, kidogo ilikuwa ambwene Ila naye sku hzi sjui anaimba nn hata haeleweki au kale kadada kanamchanganya....secret agenda bonge Moja la pini
 
Kuna tofauti ya msanii w nyimbo za injili na muimbaji wa nyimbo za injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…