Mwamaleki
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 727
- 2,969
Ondoa utopoloZina Roho Mtakatifu ndani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa utopoloZina Roho Mtakatifu ndani???
Hii comment inaonyesha humjui hata kidogo. Kaa kimyaBado anaimba kwa kupiga makelele kama nyimbo zake za zamaani?
Lava lava hafanyiwi promotion? Ficha ujinga wakoKusikika ni promotion mkuu, haihitaji kuwa suala zito au jepesi. Kama huna pesa kufanya promotion huwezi sikika. Pia biashara ya muziki inahitaji effort ya promotion ireflect kwenye mauzo.
Sawa dadaAsilimia 50 ya album ni mipasho, 40 kujisifia, 10 malalamiko
Ujinga ni kuropoka bila tafiti yakinifu.Lava lava hafanyiwi promotion? Ficha ujinga wako
Ndiyo ulivyo na mteule uwe macho ndizo nyimbo zangu kali kuliko zote katika album zake zoteHujasikiliza zote, zipo za mahubiri mf "Jipange sawasawa" zipo za kumtukuza Mungu mf "Naona Kama maono" yupo Kila angle
Tamalaki pia.Ndiyo ulivyo na mteule uwe macho ndizo nyimbo zangu kali kuliko zote katika album zake zote
Huu ujumbe mzuri ila kuna namna huwa unanichosha.Tamalaki pia.