Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G Secret Agenda yatikisa soko

Kusikika ni promotion mkuu, haihitaji kuwa suala zito au jepesi. Kama huna pesa kufanya promotion huwezi sikika. Pia biashara ya muziki inahitaji effort ya promotion ireflect kwenye mauzo.
Lava lava hafanyiwi promotion? Ficha ujinga wako
 
Hujasikiliza zote, zipo za mahubiri mf "Jipange sawasawa" zipo za kumtukuza Mungu mf "Naona Kama maono" yupo Kila angle
Ndiyo ulivyo na mteule uwe macho ndizo nyimbo zangu kali kuliko zote katika album zake zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…