Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli

Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli

PonsianIsack

Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
19
Reaction score
3
Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli

46a75fa5579bb0afceea38baaa1b47f2.jpg


 
Huyu naye tumueleweje?! Biblia inasema huwezi kutumikia mabwana wawili. Rose huku unapotea bakia hukohuko kwenye siasa watakugombania kama mpira wa kona siku moja utakuwa kama mwenzio sepetunga
 
Huyu naye tumueleweje?! Biblia inasema huwezi kutumikia mabwana wawili. Rose huku unapotea bakia hukohuko kwenye siasa watakugombania kama mpira wa kona siku moja utakuwa kama mwenzio sepetunga
Hahahah ashazeeka huyu hana issue tena!
 
Hongera yake maana ni HAKI yake kikatiba kuwa haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa.

Suala la dini halina tatizo Kwa sababu Hakuna dini inayomzuia muumini wake kutokuwa Kiongozi au kumchagua Kiongozi amtakaye.

Sasa Kama hivyo ndivyo, wawezaje kumpata au Kiongozi bila kupitia kwenye siasa?

Na mnaomwambia et amepotea mmetumia vigezo gani?
Katika vyama vyoote kumejaa viongozi mbalimbali ambao pia baadhi yao ni viongozi WA dini mbalimbali.
Mfano CHADEMA kuna watu kama Msigwa ni mchungaji TULIKUWA na mwasiasa mwadilifu Sana Dr. Slaa, Lowassa ni mwasiasa lkn anamtambua Mungu, Rais wetu Magufuli anamtambua Mungu, na tunao wanasiasa kama shehe Ponda ni mtu wa Mungu.

Sasa sijui KOSA LA huyu Rose Mhando linatoka wapi. Mwacheni mtu akaifanye kazi ya Mungu hata huko CCM.
 
Back
Top Bottom