Rose Muhando amshukuru rais Uhuru, Wakenya na taifa la Kenya kwa usaidizi aliopata

Sisi huku tunawajua maisha yao coz tunaishi nao....ujinga woote huo waufanye kwa raha zao kisha eti tusaidiane kutatua ...??

Wacha majirani wasaidie now
 
Hata Matonya aliyeimba wimbo wa Anita Watanzania walimpiga chini bila huruma yoyote ikabidi atorokee huku Kenya. Tukamkubali na kuishi naye. Hata T.V na redio zetu zikampa interview kibao ili atangaze muziki wake. Halafu Mr Nice wakati alitaka kuanza tena muziki ilibidi aje Kenya maana Wakenya wanapenda muziki wake. Kwanza mimi nakumbuka ile yake ya "kuku kapanda baiskeli".
 
Hawa watu hawana huruma na watu wao hata kidogo. Ndio maana pia hawana huruma na majirani zao. Pengine inachangiwa na hali ngumu ya maisha wanayoishi inayowafanya wawe wakatili.

Kwao hawana zaidi ya kukwamishana, angalia hata wasanii wao wakubwa, wote wamefaulu baada ya soko la Kenya kuwapokea, ila wangeendelea Bongo wangesota kupita maelezo. Jamaa wana roho ngumu sana...
 
Yeah kisa cha munalove kilinifanya niamini mna roho mbaya kweli.
 
Wakenya wanawafahamu wasanii karibia wote wa Tanzania wakati wasanii wenu hawazidi hata 10 wanaofahamika huku,
Hata ukipitia comment za kwenye post za wasanii wenu utakuta mkiwatukana, kuwakashfu, kuwazodoa, kuwakatisha tamaa, hamview videos zao youtube nk [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawafaulu kwa kipimo gani unatumia, maana wewe hauwezi kujua ufaulu wao ukiwa huko Tandale.
 
BILA SHAKA umejifunza kitu kutoka Tz kupitia kwa Rose M,, sie ni wakarimu sana


Najivunia Tz yangu
 

Ndio maana nikasema inategemea wewe wa wapi, maana ukweli Watanzania wengi hampo exposed, mfumo wa ujamaa uliwalemaza kiasi cha kudumaa sehemu moja, mkimwagika huwa mnamwagwa wote kwenye kifurushi kimoja. Huwa hamna uwezo wa diversity.
 
Inategemea wewe wa wapi, kwanini mnashoboka na wasanii wa nchi zingine huku mkiwasahau kuwapa support wasanii wenu,
Mmejazana kwenye video's za kibongo youtube "WAPI LIKES ZA WAKENYA" unakata mkenya akisema kuliko nisikilize nyimbo ya fulani.....
ubepari umewalemaza hamna utu kazi ni chuki tu na ukabila [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nikasema inategemea wewe wa wapi, maana ukweli Watanzania wengi hampo exposed, mfumo wa ujamaa uliwalemaza kiasi cha kudumaa sehemu moja, mkimwagika huwa mnamwagwa wote kwenye kifurushi kimoja. Huwa hamna uwezo wa diversity.
 
Ila kusema ukweli Watanzania tunapenda sana maanguko ya watu. Huyu dada alichekwa na kukejeliwa kila kona, niliumia na hata kutokwa machozi juu yake kwa aliyokuwa akipitia.

Hivyo kitendo cha Wakenya kumpokea na kumthamini kuliko sisi ndugu zake huku ni aibu kubwa, ifike wakati tubadilike sasa.

Yaliyomkuta Rose Muhando ndiyo wengine wanaomba Harmonize yamkute hayohayo na pengine kuzidi hata Rose, chuki hii mpaka lini?
 
Lakini sasa aje afikie suluhu na wanaodai alichukua advance zao halafu hakutokea kupiga shoo, ili asafishe jina lake asionekane tapeli
 
kwa kweli hongera nyingi kwaoπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 

Ukiwa exposed unapata uwezo wa kitu tunaita 'taste', lakini kama umedumaa huawezi kuona zaidi ya pua lako.
Yaani huwa mpo mpo tu majibu yenu huendana na mlivyo
 
Ukabila uwedumaza akili mnachowaza 24 hours ni chuki tu,
Yaani mpo mpo tu hamjui mnataka nini.

Ukiwa exposed unapata uwezo wa kitu tunaita 'taste', lakini kama umedumaa huawezi kuona zaidi ya pua lako.
Yaani huwa mpo mpo tu majibu yenu huendana na mlivyo
 
Lakini sasa aje afikie suluhu na wanaodai alichukua advance zao halafu hakutokea kupiga shoo, ili asafishe jina lake asionekane tapeli
Mumempiga ya kutosha. Wacha akae Kenya apumzike. Hamna haja ya yeye kuturudi huko TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…