Rose Muhando amshukuru rais Uhuru, Wakenya na taifa la Kenya kwa usaidizi aliopata

Labda anashirikiana na Mh Kenyata kuuza sembe!!
 
Hawa jirani zetu wana roho ngumu kupitiliza. Faustine Munishi yupo Kenya kwa miaka 19 sasa. Ana shamba lake na amejenga kule Oloolua, gatuzi la Kajiado, yaani ameisahau nchi yake kabisa. Miaka yote hiyo hawajawaza kusahau na kumsamehe huyu ndugu yao ambaye alikuwa mashuhuri sana.
Mumempiga ya kutosha. Wacha akae Kenya apumzike. Hamna haja ya yeye kuturudi huko TZ.
 
That is sad. I didn't know that. They are savages.
 
That is sad. I didn't know that. They are savages.
CCM walitaka kupita na shingo lake kwasababu alitoa album ya kuwakashifu na kueleza watz wasiwapigie kura. 19 years ago! Nadhani huu wimbo ndio ulileta utata. Mpende adui yako- Faustine Munishi.
 
Dah! Umenikumbusha mbali sana, huyu Munishi yaani nilipenda nyimbo zake tangu nikiwa mdogo.....
Wakenya tulimpokea huyu akawa kama mzawa kabisa, jamaa wa roho ngumu wana mengi ya kujifunza kutoka kwetu.
 
CCM walitaka kupita na shingo lake kwasababu alitoa album ya kuwakashifu na kueleza watz wasiwapigie kura. 19 years ago! Nadhani huu wimbo ndio ulileta utata. Mpende adui yako- Faustine Munishi.

Hapa hawawezi kumsamehe, alikua anaimba ukweli wenyewe.
 
Mumchukue tu awe mkenya hatumtaki kwenye nchi yetu ya ahadi
 
Dah! Umenikumbusha mbali sana, huyu Munishi yaani nilipenda nyimbo zake tangu nikiwa mdogo.....
Wakenya tulimpokea huyu akawa kama mzawa kabisa, jamaa wa roho ngumu wana mengi ya kujifunza kutoka kwetu.
Munishi bado yupo, watu wa Rongai na Kiserian, Kajiado County wanamfahamu vizuri sana, yaani alishakuwa mwenyeji zamani sana. Nakumbuka enzi zake hizo nikiwa mdogo sana. Kila kitu kilikuwa 'black and white' back then. Kijana akianza kuvuta sigara na kunywa pombe, automaticaly anakuwa 'Malebo', mtu ambaye amepotea njia. Hahaa! 😀
 
Kenya wapo vzr kwenye UTU huo ndo ukweli japo waTZ wengi tutapinga, hawana roho ya kisasi kama tulivyo sisi.....
1. Tulichoma vifaranga vyao
2. Tukauza ng'ombe zao
3. Nk.....

Rais wao anaupendo ulopita Upeo...naye angekuwa hovyo hovyo kama "jamaa" Leo hii nchi hizi mbili zingekuwa ziko kwenye mapigano !!

Hongera Hon. Uhuru Kenyatta, endelea na moyo huo huo.....
 
Vile vifaranga ni vya Mtanzania alivinunua kenya na kuviingiza Tanzania kimagendo wakati sheria inakataza kuingiza wanyama jamii ya ndege kutoka nchi nyingine,
Ila sababu mnapenda story za vijiweni siwalaumu,
Kwanini uingize wanyama nchi ya watu bila kibali,
Nenda leo kenya ukaone utu wao.
 
Hiyo “ malango” Rose muhando anataja kwenye hiyo wimbo ni Kiswahili sanifu??? I thought it should be milango?? MK254 saidia.....
 
Sidhani amemtaja kibahati bahati. Labda ali'intervene' kwenye matibabu yake kimya kimya, you never know. Alafu mimi binafsi huwa naona mbinu hiyo ikiwa ya maana zaidi, sio zile za kumsaidia mtu alafu unakimbia kuanika kwenye mitandao.
Uko sahihi Mkuu...
Mfano SIZONJE ndo tabia yake
 
Sidhani amemtaja kibahati bahati. Labda ali'intervene' kwenye matibabu yake kimya kimya, you never know. Alafu mimi binafsi huwa naona mbinu hiyo ikiwa ya maana zaidi, sio zile za kumsaidia mtu alafu unakimbia kuanika kwenye mitandao.
Hata mi hua nawashuku wale watu hua anasaidia mtu alafu anabandika mapicha mtandaooni.. Ukitenda wema fanya kwasababu unataka kusaidia mtu, usitende kwasababu unataka uonekane una roho nzuri
 
Hata mi hua nawashuku wale watu hua anasaidia mtu alafu anabandika mapicha mtandaooni.. Ukitenda wema fanya kwasababu unataka kusaidia mtu, usitende kwasababu unataka uonekane una roho nzuri
Nakumbuka kuna wakati kulikuwa na fundraising ya Shiro wa GP ,kipindi hicho Uhuru alikuwa nje ya nchi, aliporejea na kufahamishwa alipeana milioni moja na hakuposti. Watu ndio walimsifia. Huyu jamaa ana UTU sana.
 
Kwaiyo huyo ombaomba mmemkubali wale wa barabarani mnawatukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…