Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Sep 29, 2019 #61 MK254 said: Sasa madawa yakimharibu sio mnapiga chini kabisa, mnamnyanyua na kumsaidia, nakumbuka pia Mr. Nice naye hivyo hivyo... Click to expand... Wapambane na hali yao raisi alisema mtz akikamatwa China anyongwe tu Kuna hakina Ray C sasa hivi wapo majalalani tulisha wasahau
MK254 said: Sasa madawa yakimharibu sio mnapiga chini kabisa, mnamnyanyua na kumsaidia, nakumbuka pia Mr. Nice naye hivyo hivyo... Click to expand... Wapambane na hali yao raisi alisema mtz akikamatwa China anyongwe tu Kuna hakina Ray C sasa hivi wapo majalalani tulisha wasahau
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Sep 29, 2019 #62 Kafrican said: Kwani Kenyatta alimsaidia na nini haswa?? Click to expand... Ukijua uwezi pata usingizi wacha nikunong"oneze kampatia umiliki wa kibera
Kafrican said: Kwani Kenyatta alimsaidia na nini haswa?? Click to expand... Ukijua uwezi pata usingizi wacha nikunong"oneze kampatia umiliki wa kibera
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Oct 5, 2019 Thread starter #63 Nyimbo za huyu dada hunikosha
J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 Oct 6, 2019 #64 MK254 said: Nyimbo za huyu dada hunikosha Click to expand... Ni mwimbaji mzuri sana sema tu alirogwa maisha yake yakaharibika. Watanzania kwa wivu hawajambo
MK254 said: Nyimbo za huyu dada hunikosha Click to expand... Ni mwimbaji mzuri sana sema tu alirogwa maisha yake yakaharibika. Watanzania kwa wivu hawajambo
Jackshiroph Member Joined Jul 28, 2019 Posts 5 Reaction score 3 Oct 6, 2019 #65 Janerose mzalendo said: Ni mwimbaji mzuri sana sema tu alirogwa maisha yake yakaharibika. Watanzania kwa wivu hawajambo Click to expand... Ulikuepo kipindi wanamroga ?
Janerose mzalendo said: Ni mwimbaji mzuri sana sema tu alirogwa maisha yake yakaharibika. Watanzania kwa wivu hawajambo Click to expand... Ulikuepo kipindi wanamroga ?