Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wapambane na hali yao raisi alisema mtz akikamatwa China anyongwe tuSasa madawa yakimharibu sio mnapiga chini kabisa, mnamnyanyua na kumsaidia, nakumbuka pia Mr. Nice naye hivyo hivyo...
Kuna hakina Ray C sasa hivi wapo majalalani tulisha wasahau