Rose Muhando asimulia jinsi Yesu alivyomtokea live

Rose Muhando asimulia jinsi Yesu alivyomtokea live

Labda ndio maana alisema ameonja utamu wa yesu.
 
Msibishe. Ni kweli rozi ametokewa na YE SU
img_1_1660467207332.jpg
 
Rose muhando yule wa toleo la kwanza sijui alipatwa na nini

Nakumbuka wimbo wake wa yerusalem, nipishe nipite, kweli mambo hubadilika
 
kuna kipindi wasanii wasipofikisha malengo wanakuwa na stress na kujiona wapo stage ile ile waliyopo zamani. ndio maana kila kukicha maongezi yao kabisa ya uchuzi.
*chid benzi
*q chiller
*dudu baya
 
Back
Top Bottom