Rose Muhando atumia madawa ya kulevya


Kiasi inaleta mantiki .Kwa sababu dawa za pumu nyingi zinafanana Na madawa ya kulevya
 


Hivi ndio vifaa vya matibabu [kupunguza makali] ya Asthma na kuna wengine wanapewa sindano kabisa wajichome kama zile za insulin sasa wengine wasiokuwa na uelewa wa haya mambo especially majority ya wabongo wasiotumia akili sana wanaweza kukupakazia kwa kutojua na madawa yenyewe huwa yanachosha kama ya kulevya.

wabongo wengi akili zenu zipo kwenye masikio na midomoni.
 

Naweza kukuunga mkono kwenye swala la Msama kuwa mtu wa System,,sababu hata watu anaowaalika kwenye matamasha yake Huwanajiuliza sana namna anavyowapata kirahisi namna ile,,,,! Ila khs issue ya ROSE kuwa mteja muda ndio utaamua kwasababu km ni pumu haikumuanza leo,,namtu ukishajua tatizo lako maana yake unajua namna yakuishi nalo sababu.km ni pesa za kumuona Dr, anazo,,Mimi nnachokiona tatizo kubwa la waTZ wengi huwa wanaharibikiwa wanapokuwa maarufu kiasi kwamba wanafanya mambo ya hovyo km hayo wakidhani niUSASA
 

Kula like 1000
 
umeona eeeh kuzeeka bila mume nako ni shida hata uwe strong vipi utahitaji kampan tu

Km nihivyo siafunguke tu,,,Maisha ya cku hizi hakuna kuzubaa ikiwa kitu unakitaka sasa kwa levo aliyonayo na madogo wacku hizi wanavyotafuta kivuli km tatizo lake ni hilo cdhani km angekwama
 
Mwenzio anateketea kwa unga wewe unaendelea kubisha tu!..any way bora nae aende tu. Kaondoka mchizi wetu ngwea sembuse huyo mkata mauno?

Mkuu,,unataka kunambia mtumishi wa MUNGU nae alikuwa CONTENA?
 
muulize Rose kwa nini alipoenda congo na yule mchungaji kumlazimisha kulala nyumbani kwake sababu walijua akikaa hotelini ni tungi, na kwa nini alifosi kukaa hotelini? wakati anapiga mitungi na kulewa alidhani watu hawamjui congo?
 
muulize Rose kwa nini alipoenda congo na yule mchungaji kumlazimisha kulala nyumbani kwake sababu walijua akikaa hotelini ni tungi, na kwa nini alifosi kukaa hotelini? wakati anapiga mitungi na kulewa alidhani watu hawamjui congo?

Kwan haruhusiwiii kunywa pombeee
 

iwe kweli jamani maana daah!
 
Da yani ao wa kina mama wa 3 kwanini
hawakwenda mwananchi au nipashe wameamua kwenda uko kwa shigongo kwenye umbea
 
Huyu Msama huwa nina wasiwasi naye sijui kwa nini
 

mbona msama amekaa kama zoba flan kumbe ni hatari hivi. Alafu huyu Rose aliwahi kua na uhusiano wa kimapenz na msama au maana hizi story naziskia sana
 
Hata mi najiuliza muziki na madawa ya kulevya vina ukaribu ganiii???yaan ukiwa mwanamuziki ni lazima utumie madawa au !!au ukiyatumia ndo mistari inakua mingi kichwaniii

I used heroine for 3 years lakini kuna kipindi nilikuwa naacha then narudia tena,na mara nyingi mno nilikuwa navuta huku nimeiweka attention PC/radio yangu kwa ajili ya kusikiliza Music,its something take u away(raha yake haielezeki) when ur stoned then u ulisten music mimi sio mwanamuziki lakini i think there is connection between the feelings u feel in the music na zile za madawa hasa heroine they r in need of each one another whether u smoke Pele from brazil or Musharraf from Pakistan there is something connected!
 
Labda Kweli Ni Ngoma Na Anajiliwaza Kwa Unga Na Gambe. Kuna Dawa Za Ngoma Zinamaliza Sana Mashavu Na Naonaga Mashavu Ya Rozi Makavuuu.
 
DUH Mungu amsaidie isiwe kweli maana hata mie ile album ya mwisho sijui Mungu unashangaza niliona kama hayuko sawa. Ninachojua Rose alizaliwa mdhaifu sijui ndio iyo pumu wengine walisema sijui kitu utosini na mamaake akiwa amemleta hospital ya Anglicana Dodoma alipoona kama hakuna matumaini ya kupona akamwacha na kuishia ndio mwanzo wa kulelewa na kanisa na baadae kuwa Mkristo na muimbaji. Pumu kweli ina hizo dawa na kama ni serious basi nafikiri hafuati masharti na hataki kuwaona wataalamu kila akiwa na tatizo na kuishia kujitibu mwenyewe. Ninavyomuangalia ni kuwa ame neglect afya yake wakati ana hela ya kutosha kupata tiba nzuri, pili anaji overwork maana kwa mtu mwenye pumu kuimba live na masaa mengi bila kupata ushauri au checkup mara kwa mara itamfanya awe mtumwa wa hayo madawa. Pamoja na hayo kuishi maisha single na ya high competition naona anahitaji kupumzika mbona kashachuma sana? Niliangalia albuma video zile nikaona kawa kama Whitney au yule Brenda wa SA (RIP) kweli anahitaji maombi na watu wa karibu wamshauri sema ndio hao wanaonekana kumtangaza sasa.
 

uliacha mwenye kwa willingnes yako au?
 
huyu binti aliingia mkataba kuja kufanya show mjini tabora.. mchungaji alieingia nae mkayaba wa show akaandaa vizuri pale uwanja wabA. H. Mwinyi na akawaalika mkuu wa mkoa bi. FATMA MWASA na mkuu wa wilaya ya Tabora mhe. SULEIMAN O. KUMCHAYA lakini siku ya tukio mdada hakutokea. kamtapeli Msama 10M. mchungaji akashauriwe akafungue kesi ya madai mahakamani.. sijabahatika kukutana nae tena kujua amefikia wapi..
huyu binti ni tatizo.. tapeli kweli siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…