Rose Muhando kusilimu

Rose Muhando kusilimu

Madawa ya kulevya yatampeleka hadi kwenye ubudha
 
me_400x400.jpg


Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Utapeli haukubaliki, hata historia ya maisha yako inaonesha wewe ni mzinzi itakuwA vizuri uache ukristo kwani unauchafua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapeli haukubaliki, hata historia ya maisha yako inaonesha wewe ni mzinzi itakuwA vizuri uache ukristo kwani unauchafua

Sent using Jamii Forums mobile app


Wanaouchafua ukristu ni wale mapadre wanaowalawiti watoto wadogo, lakini huyu dada anatumia punani yake mwenyewe we unadai anakuchafua, kweli?
 
Back
Top Bottom