Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Allelujah one nation under god.
Mke wa mtu sumu,mume wa mtu maziwa
mkuu, rose ana skendo gani??Amwimbie sasa Mungu aache skendo... Tunataka wanaomwimbia kwa roho na kweli sio kupiga hela tu, hela piga ila toa fundisho..
Na kumiliki mume wa mtu hadi kudhulumu ndoa hiyo.
Mume haibiwi,,, kupokezana kijiti ndo mpngo mzima.
Ni hayo tuu umetaka kumwambia au una laziada.Ukitoka huko kwa wale ukaja huku kwetu sisi,kwa kubadiri dini.Na ukawa public figure...wale wanamaind kweli kweli siajabu walijalibu kukutumia ndugu zao "waarabu" ikashindikana.Na bado watakusakama.usimuache yesu kristo wa nazareth.
Kuna ule wimbo aliimba moja ya part anasema :walionizalisha wamenikimbia"
Mzee wa Upako akasema waliomzalisha au aliozaa nao kwani aliforciwa si alinnihii kwa hiyari yake
Umenifurahisha kinoma. Nayakubali sana majibu yake.
Na kumiliki mume wa mtu hadi kudhulumu ndoa hiyo.
Nimemuona Rose kwenye video yake ya hivi karibuni ameumuka kweli halafu kavaa sketi ya mbano anaonyesha uzuri wa nyumba yake,kila mara camera inamuonyesha akionyesha ''uzuri wa nyumba''hakika wengi tutaenda motoni kwa kumdhihaki MunguAsante.
Nimemuona Rose kwenye video yake ya hivi karibuni ameumuka kweli halafu kavaa sketi ya mbano anaonyesha uzuri wa nyumba yake,kila mara camera inamuonyesha akionyesha ''uzuri wa nyumba''hakika wengi tutaenda motoni kwa kumdhihaki Mungu
Nimeona al