Rose Muhando: Kutoka ombaomba hadi nyota wa muziki wa Injili kimataifa

Rose Muhando: Kutoka ombaomba hadi nyota wa muziki wa Injili kimataifa

Ukitoka huko kwa wale ukaja huku kwetu sisi,kwa kubadiri dini.Na ukawa public figure...wale wanamaind kweli kweli siajabu walijalibu kukutumia ndugu zao "waarabu" ikashindikana.Na bado watakusakama.usimuache yesu kristo wa nazareth.
Ni hayo tuu umetaka kumwambia au una laziada.
 
Kuna ule wimbo aliimba moja ya part anasema :walionizalisha wamenikimbia"

Mzee wa Upako akasema waliomzalisha au aliozaa nao kwani aliforciwa si alinnihii kwa hiyari yake

Umenifurahisha kinoma. Nayakubali sana majibu yake.
 
sahivi kitu'Mungu anacheka'
humo ndani vitu mi vzr mno
go Rose go
 
Nimemuona Rose kwenye video yake ya hivi karibuni ameumuka kweli halafu kavaa sketi ya mbano anaonyesha uzuri wa nyumba yake,kila mara camera inamuonyesha akionyesha ''uzuri wa nyumba''hakika wengi tutaenda motoni kwa kumdhihaki Mungu

Nimeona al
 
Lol!!! nimeiona pia kile kimini kama bongo movie,,,,, thou kapendeza. acha aonyeshe mungu alochomjalia..
 
Mi nami sijui Mungu kaniandalia kua nani maanq nakaribis kuzeeka hata sieleweki nipo nipo tu,hongera Rose Muhando kwa kupats pesa kw jasho lako,
 
Back
Top Bottom