PostGE2025 Rose Muhando: Mzee huyu analigawa taifa kwa kuweka udini, Taifa ni la Watanzania wote

PostGE2025 Rose Muhando: Mzee huyu analigawa taifa kwa kuweka udini, Taifa ni la Watanzania wote

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Malkia wa Muziki wa Injili Tanzania, Rose Muhando ameguswa na kauli za kiongozi huyu akisema; "Mzee huyu analigawa taifa kwa kuweka udini, kweli nimeamini Heri kijana madikini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu kwa hiyo unafurahia kifo cha jirani zako!??"

"Mzee kumbuka hakuna taifa la wadini ila ni la watanzania bila kujali unaabudu nini Tofautisha dini na utaifa Wote ni watoto wa Tanzania hata ikiwa aliyekosea ni mkriso au la mwisho please usitugawe wewe mwendo umeshaumaliza please, please, Linda thamani ya Taifa na sio dini yako."

"
 
Back
Top Bottom