ROMAN REIGNS
Member
- Apr 24, 2015
- 30
- 3
Kazitunayo kwelikweli!Ni hatari kwa Taifa mtoto wa kiume unapokua mmbeya mbeya ni zaidi ya Ebola
Wadau,
Siku hizi Rose Muhando haonekani katika matamasha kama ilivyokuwa zamani na inasadikika hali yake ni mbaya kiafya. Wapo wanaodai anaumwa kwa sababu ya madawa ya kulevya (unga) na wapo wanaosema ana mimba kubwa hivyo huenda yupo kwenye maandalizi ya kujifungua au yupo maternity leave!
Ukweli ni hupi maana sisi mashabiki wake tunam-miss sana!
Issue ya unga ilikua ya kumchafua tu mwacheni ale maternity yake, mbona waziri wenu wa fedha alikua maternity two months ago hamkuuliza? Acheni umbea!
Ni hatari kwa Taifa mtoto wa kiume unapokua mmbeya mbeya ni zaidi ya Ebola