Rose muhando wapi siku hizi au ndo mambo ya unga?

Rose muhando wapi siku hizi au ndo mambo ya unga?

ROMAN REIGNS

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
30
Reaction score
3
Wadau,
Siku hizi Rose Muhando haonekani katika matamasha kama ilivyokuwa zamani na inasadikika hali yake ni mbaya kiafya. Wapo wanaodai anaumwa kwa sababu ya madawa ya kulevya (unga) na wapo wanaosema ana mimba kubwa hivyo huenda yupo kwenye maandalizi ya kujifungua au yupo maternity leave!
Ukweli ni hupi maana sisi mashabiki wake tunam-miss sana!
 
Ni hatari kwa Taifa mtoto wa kiume unapokua mmbeya mbeya ni zaidi ya Ebola
 
Mbona mambo mengine hata haya khusu, unamtakia nini? Unaanza kumchokonoa bureee...
 
Wadau,
Siku hizi Rose Muhando haonekani katika matamasha kama ilivyokuwa zamani na inasadikika hali yake ni mbaya kiafya. Wapo wanaodai anaumwa kwa sababu ya madawa ya kulevya (unga) na wapo wanaosema ana mimba kubwa hivyo huenda yupo kwenye maandalizi ya kujifungua au yupo maternity leave!
Ukweli ni hupi maana sisi mashabiki wake tunam-miss sana!

Issue ya unga ilikua ya kumchafua tu mwacheni ale maternity yake, mbona waziri wenu wa fedha alikua maternity two months ago hamkuuliza? Acheni umbea!
 
Kama anainjoi kaunga kidogo au analea mimba shida iko wapi?
 
Yaani mitandao hii!mpaka unasoma vitu vingine vya ajabu ajabu.Sasa kama haonekani weye linakushughulisha hili?mara anakula unga jamani tuitumie uzuri teknolojia hii.
 
Kwaiyo tukusaidiaje?!achana na maisha ya watu.
 
Nadhani una akili fupi kama makalio yako!! Familia yako inaweza kuwa inakutarajia kuwaza mambo ya msingi zaidi ya kuwa mmbeya kwa mambo yasokuhusu. Hilo ndio tatizo la kuwa mteja mzuri wa magazeti ya "udaku"!!
 
Back
Top Bottom