Rose Muhando yupo wapi?

Rose Muhando yupo wapi?

ifa96

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
466
Reaction score
255
Habar zenu wanajamv
Natumaini wote ni wazima Wa afya
Imepita mda mrefu sana sijamsikia Dada angu kipenz rose muhando muimbaji Wa nyimbo za dini
Je ni wap alipo
Ni kipi kimemkuta?

Asanteni

Ifa96
 
Mkuu iz taarifa niliziskia ila sikuwa na uhakika nazo yaweza kuwa zinaukweli?

Kwa vile anavyoruka ruka na kukata mauno huku akimsifia yesu nilivyosikia anakula unga wala sikushangaa
 
Kwa vile anavyoruka ruka na kukata mauno huku akimsifia yesu nilivyosikia anakula unga wala sikushangaa

Sasa hapo tatizo liko wapi? Nani kamwambia ni vibaya kumkatikia yesu?
 
Habar zenu wanajamv
Natumaini wote ni wazima Wa afya
Imepita mda mrefu sana sijamsikia Dada angu kipenz rose muhando muimbaji Wa nyimbo za dini
Je ni wap alipo
Ni kipi kimemkuta?

Asanteni

Ifa96
Yuko rehab mkuu
 
Alionekana boda la Msumbiji akiwa katika jitihada zake za kuzamia South. Anasema yy ni old skul,hawezi enda South kwa njia official kama watoto wa Mama.
 
Kweli ukitaka kufuata mungu kwanza ujikane mwenyewe
 
Nilisikia anataka kurudi kwenye Dini yake ya Awali Uislamu.

Huku kwingine hakujampa Amani ya moyo aliyokuwa anaitafuta.
 
Back
Top Bottom