Rose Ndauka hatari sana

Rose Ndauka hatari sana

rose+ndauka-at+family+show.jpg
rose mzur jaman had raha
 
Hebu mwenye namba ya huyu dada anisaidie. Nimejaribu kuziba hisia zangu najidanganya, nampenda Rose Ndauka mpaka nakufwaz.

Wanasema age is just a number. Waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi.

Asanteni
Kamfollow insta atleast ukapozee maumivu kwa kumlike post zake, bcaz swala la kuwa na Rose , hutaweza broda , hakunaga miujiza ktk hiloo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Bongo muvi njaa sana wanagawa tu
Dah wananjaa Sana halafu wanajisahau Kama umri umeenda ndo maana riyama kastuka mapema katafuta Mario katulia ila hawa wengine njaa Sana na umri unaenda Kama zari[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We mtoa mada huyo dada si alishaolewa, hebu acha tamaa na mke wa mtu usije kupigwa para!!!
 
Ukibahatika kumpata Mwanamke wa kingoni, kama una mke lazima umteme keo! Coz mafundi sana kifup dada zangu wanajua sana
ila kweli wangoni bana, ni shiida wanasema tanga tanga, ila wangoni aisee, ni nooma, muda wote kisoya kinahamasisha mambo flani
 
Back
Top Bottom