TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Mtoto WA baba WA taifa amefia Dispensary alipolazwa kwa muda mrefu.

Nilimfundisha mwanae miaka ya nyuma kidogo maisha ya huyu mtoto WA Nyerere yalikuwa ya chini sana sana.
Nyamaza kwa usiyoyajua sio ujinga
 
Wangepewa vyeo bado mngelalamika sana tu
 
RIP Rosemary Nyerere, nitakukumbuka kama overall best student wa ADCA na all finalists pale IDM mwaka 1989 na later on Lecturer wa IFM.
Aisee wewe ni muhenga, Shkamoo
 
Sad. First family hakika ni kwa nini kama imetelekezwa? Wajue tu kuwa wanayofurahia sasa ni matunda ya baba wa Taifa hili. Hivi serikali huwa haihusiki na hizi familia? Mbona wengine mnapeana mansions siku Chache zilizopita? Inaniuma mno.
Wametelekezwa kivipi mkuu? Kwani Sheria za nchi zinasemaje kuhusu familia za Marais wastaafu?
Ni kwamba watoto watatunzwa na serikali wapewe kazi, chakula na malazi? Na hata wakiolewa huyo mume nae asaidiwe kutunza familia yake?
Hebu tueleweshe tafadhali
 
Manyerere na Nyerere wapi na wapi?
Anaweza kuwa ni rafiki wa familia, lakini hana undugu na akina Nyerere. Manyerere mwenyewe nadhani ni mtu wa Mgango au wa Suguti hivi ingawa sina uhakika, lakini ninajua kuwa siyo mtu wa Butiama huyo.
 
Naomba tu niishie hapo Mkuu. Mwenye macho haambiwi tazama. Tunao marais 4 wastaafu kati yao 2 Marehemu. Tumebakiwa na Mwinyi na Kikwete. Tofauti zipo mpaka recently😊😊😊😊
 
Naomba tu niishie hapo Mkuu. Mwenye macho haambiwi tazama. Tunao marais 4 wastaafu kati yao 2 Marehemu. Tumebakiwa na Mwinyi na Kikwete. Tofauti zipo mpaka recently[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ongea tufahamu na uache majungu. Kwani mama nyerere hatunzwi? Ukute matibabu ya Rose ni serikali imegharamia.
Halafu sidhani kama sheria ya kutunza familia za Marais inahusu pamoja na watoto na waume zao.
Sema ni haki gani wamenyimwa kama watoto wa Rais mstaafu tuelewe sio unaleta majungu
 
haja ipo.
tena kwa kuongezea tu, ni hospitali inayomilikiwa na taasisi ya usalama wa taifa. hivyo yaani. au unataka nitaje na location ilipo?.
Taja location, si inaendeshwa kwa kodi zetu
 
Bahati mbaya hakuacha legacy, alipotoka madarakani na yote ya principle and integrity were flushed down the toilet drain.

Hakuacha mifumo ya kushughulika na warithi wake ambao haikuwauma kunenepa wakati walipa kodi wanaokulisha ni masikini wachafu wauza ndizi kwenye ma stendi ya mabasi across the country.

Akaandika Katiba inayotengeneza imperial president with water tight immunity againts any and all sheninigans.
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kutaja Jina la Hospitali?
Ulitaka wataje kafia Gheto kwako? Kenge kweli wewe.... Baba yake tuliambiwa kafia St. Thomas Hospital... wewe ni nani kwani au ulitaka watangaze ili tuwe na maswali lukuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…