The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ndiyo.Huyu ni mtoto wa yule mama?
Huyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.Masikini hawezi shinda ndani ya CCM ngazi ya Ubunge
Huyu kitakachomnyima ubunge ni kufa kabla ya muda kwa hali hiyoHuyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.
Huyo mama, pesa aliyomwaga kuhonga wanaCCM haijapata kutokea katika huu uchaguzi. Kama kuna mwanaCCM wa jimbo la Mlimba hajatafuna hela za huyo mama basi atakuwa na bahati mbaya sana.
Huyo mama ni mafia kuliko alivyokuwa mama yake (marehemu mchungaji Rwekatale), ana karibu kila aina ya deal ya kupiga hela hapa Tz (chafu na safi) ana maconnection mpaka ya kina Abdul (mtoto pendwa wa taifa), kwa sasa mwanamama anausaka ubunge kwa hali na mali ili kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status.
Popote alipo mbunge wa sasa (? Kunambi) aanze tu kuaga, kwa huyu mama atapotezwa vibaya.
Huyo mama atafeli tuHuyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.
Huyo mama, pesa aliyomwaga kuhonga wanaCCM haijapata kutokea katika huu uchaguzi. Kama kuna mwanaCCM wa jimbo la Mlimba hajatafuna hela za huyo mama basi atakuwa na bahati mbaya sana.
Huyo mama ni mafia kuliko alivyokuwa mama yake (marehemu mchungaji Rwekatale), ana karibu kila aina ya deal ya kupiga hela hapa Tz (chafu na safi) ana maconnection mpaka ya kina Abdul (mtoto pendwa wa taifa), kwa sasa mwanamama anausaka ubunge kwa hali na mali ili kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status.
Popote alipo mbunge wa sasa (? Kunambi) aanze tu kuaga, kwa huyu mama atapotezwa vibaya.
Ni kipande moja nzito ya mwanamama (hakosi presha au sukari), kajichubua ile balaa (wenyewe wanasema kuglow!), kwenye mission zake anakuwaga na sura ya kimafia mnoo, anaga masihara ya ovyo. Bahati mbaya sana hajui siasa, yeye anasema siasa ni pesaaa!Huyu kitakachomnyima ubunge ni kufa kabla ya muda kwa hali hiyo
Kwa hii CCM sioni akifeli, labda afelishwe. CCM imeshakuwa chama cha watu wabaya, wa ovyo, wezi, wafiraji/wafirwaji, makatili, wapiga deal na mafia. Ukiwa na hizo swaga ndani ya CCM basi uhakika wa kutoboa ni mkubwa sana.Huyo mama atafeli tu
๐ ๐ ๐ ๐ Mama anatisha, huyo hafai hata kuwa mama mkwe wako.Ni kipande moja nzito ya mwanamama (hakosi presha au sukari), kajichubua ile balaa (wenyewe wanasema kuglow!), kwenye mission zake anakuwaga na sura ya kimafia mnoo, anaga masihara ya ovyo. Bahati mbaya sana hajui siasa, yeye anasema siasa ni pesaaa!
Uzuri mule bungeni hawaruhusiwi kuingia na chuma, lakini siku mtu kama huyo akifanikiwa kupenya nayo mule, kale kaspika ketu kakaleta kimdomo dhidi yake nina uhakika mwanamama anaweza kuvuta chuma na kumtungua pale pale.
True 100%Huyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.
Huyo mama, pesa aliyomwaga kuhonga wanaCCM haijapata kutokea katika huu uchaguzi. Kama kuna mwanaCCM wa jimbo la Mlimba hajatafuna hela za huyo mama basi atakuwa na bahati mbaya sana.
Huyo mama ni mafia kuliko alivyokuwa mama yake (marehemu mchungaji Rwekatale), ana karibu kila aina ya deal ya kupiga hela hapa Tz (chafu na safi) ana maconnection mpaka ya kina Abdul (mtoto pendwa wa taifa), kwa sasa mwanamama anausaka ubunge kwa hali na mali ili kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status.
Popote alipo mbunge wa sasa (? Kunambi) aanze tu kuaga, kwa huyu mama atapotezwa vibaya.
Huyu ni ndugu na yule mama Rwakatale aliyefarikiMwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto zake.
Rwakatale ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shule za St Maryโs ndani na nje ya Tanzania amerejea maneno ya wazee ambao pia walimuita hivi karibuni kumtia moyo agombee amesema hana mashaka kwani amechukua fomu na kura zitaamua vema.
View attachment 3389285
Huwezi amini, wanaume wote kimbelembele waliokuwa wananyemelea jimbo la Mlimba walishaufyata tangu mwaka juzi. Mbunge wa sasa Kunambi mpaka akaelekea kuchanganyikiwa na kwa sasa ni miongoni mwa watu wanaoichukia CCM kupita maelezo, kisa? Mwanamama jabali, mafia na mama pesaaaa anaitwa Rose.๐ ๐ ๐ ๐ Mama anatisha, huyo hafai hata kuwa mama mkwe wako.
Ila kwa sasa watauana sana ndani ya chama, naona vigogo wengi wamejipanga kupora viti vya watu.
Sio kweli..CCM ni Hali sawa tu, jiamini chukua fomu mkuuMasikini hawezi shinda ndani ya CCM ngazi ya Ubunge
Vijana masikini mtaishia kuwa machawa huku matajiri wakiendelea kuneemeka.
Huyu alikuwa namba Moja katika kura za wajumbe lakini Magu alimpitisha yule dogo Kunambi!!Masikini hawezi shinda ndani ya CCM ngazi ya Ubunge
Vijana masikini mtaishia kuwa machawa huku matajiri wakiendelea kuneemeka.
Kwani CCM kuna wanamama wa maana kwa sasa?Magari ya shule yake ya st.marys yalitumika kubebea washiriki wa mbio za mwenge ,
Ni limama la hovyo sana
Aina hii ya watu usithubutu kuwawekea kigingi utaenda na maji.Huwezi amini, wanaume wote kimbelembele waliokuwa wananyemelea jimbo la Mlimba walishaufyata tangu mwaka juzi. Mbunge wa sasa Kunambi mpaka akaelekea kuchanganyikiwa na kwa sasa ni miongoni mwa watu wanaoichukia CCM kupita maelezo, kisa? Mwanamama jabali, mafia na mama pesaaaa anaitwa Rose.
Anasema hajaja Morogoro kucheka cheka na waluguru, wapogoro na wandamba amekuja kutimiza kusudi, na kusudi analo moyoni, taratibu tutamuelewa.