GE2025 Rose Rwakatale achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba, Morogoro

GE2025 Rose Rwakatale achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba, Morogoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.

Huyo mama, pesa aliyomwaga kuhonga wanaCCM haijapata kutokea katika huu uchaguzi. Kama kuna mwanaCCM wa jimbo la Mlimba hajatafuna hela za huyo mama basi atakuwa na bahati mbaya sana.

Huyo mama ni mafia kuliko alivyokuwa mama yake (marehemu mchungaji Rwekatale), ana karibu kila aina ya deal ya kupiga hela hapa Tz (chafu na safi) ana maconnection mpaka ya kina Abdul (mtoto pendwa wa taifa), kwa sasa mwanamama anausaka ubunge kwa hali na mali ili kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status.

Popote alipo mbunge wa sasa (? Kunambi) aanze tu kuaga, kwa huyu mama atapotezwa vibaya.
Kipindi kile alimgaragaza Magu aliingilia kati
 
Huyu alikuwa namba Moja katika kura za wajumbe lakini Magu alimpitisha yule dogo Kunambi!!
Magufuli amembeba mnoo Kunambi, kisa alikuwa mwanasheria mwandamizi wa CCM na mwisho akampa uDED hapo Dodoma mjini. Kunambi ni mtu wa Magufuli wa kufa na kuzikana, na kwa sasa ni adui mkubwa wa Samia.

Maisha huwa yanabadilika sana sponsor akikata moto.
 
Kwa Sasa hapa TZ kama unautaka ulinzi wa kulinda mambo yako lazima uwe na CCM , huu ni Ukweli mchungu ambao wafanyabiashara lazima tuujue, dawa chungu sanaaa lakini inabidi tuinywe. Wabunge karibu asilimia 98 unaowaona wapo kwaajili ya kulinda Mali zao, biashara zao, vyote vizuri vilivyo kwao aidha Kwa njia halali au haramu...Matajiri wengi wakubwa unaowaona TZ wako pamoja na CCM na wako tayari kutoa chochote kile wanachoombwa, tena si kuombwa bali wanatoa wenyewe Kwa hiari Yao. Dawa chungu sana hii. Kama taifa ndio tumefika huku Sasa, so sad.
 
Magufuli alimkataa huyo Rose kwa sababu zipi?
Upande mmoja kwa sababu Rose alihusishwa na kutoa rushwa sana huku akihushwa na utitiri wa deal chafu. Hivyo panga likamkuta.

Upande wa pili ni kwa sababu aliyetakiwa kupewa Ubunge alikuwa ni Kunambi, mtu wa karibu mnoo kwenye CCM ndani kwa ndani na Magufuli. Hivyo mbereko ikaamua.
 
  • Thanks
Reactions: K11

Daah hatari sana.
Kuna msitari mwembamba sana kati ya umafia na utajiri.
Ukiona mtu ana ukwasi wa kutosha, kama wewe ni kapuku kaa nae mbali.
 
Huyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.

Huyo mama, pesa aliyomwaga kuhonga wanaCCM haijapata kutokea katika huu uchaguzi. Kama kuna mwanaCCM wa jimbo la Mlimba hajatafuna hela za huyo mama basi atakuwa na bahati mbaya sana.

Huyo mama ni mafia kuliko alivyokuwa mama yake (marehemu mchungaji Rwekatale), ana karibu kila aina ya deal ya kupiga hela hapa Tz (chafu na safi) ana maconnection mpaka ya kina Abdul (mtoto pendwa wa taifa), kwa sasa mwanamama anausaka ubunge kwa hali na mali ili kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status.

Popote alipo mbunge wa sasa (? Kunambi) aanze tu kuaga, kwa huyu mama atapotezwa vibaya.
kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status

Mengi yalisemwa kumhusu Pastor Mama Rwakatare wakati akiwa hai. Nilipoona hayo maandishi imebidi nitafakari kwamba dhima yake Rose kumbe sio kuwahudumia & kuwawakilisha wananchi wa Mlimba bali hayo maandishi?
 
Back
Top Bottom