Halafu Bacha, ni nini bana? mbona unamsumbua Rose wangu aisee!
la la la laaaa!!!.....Nadhani maembe na makomamanga ni mazuri zaidi kwa afya! waonaje tukila hayo halafu twashushia na maji ya Dafu??
Unachoongea ni kweli Rose, watu wengi wanawachukia Rastaman kwa kudhani wote wanavuta bangi na kupelekea kuuchukia hata mziki wa reggae na hivo kukosa message nzuri zipatikanazo humo.............Hahahahah I like Addis Ababa by Culture. Mimi nami ni mkristo lakini naupenda sana ustaarabu wa itikadi ya Rastaman and I have been following it for a long time now unasaidia sana katika kuondoa migongano na watu isiyokuwa ya lazima na hivyo kukuacha ukiwa fresh kifikra.. Umewahi kusikiliza Rastaman Prayer, VICTIMS au RESPECT za Lucky Dube? if not please zisikilize zina ujumbe mzuri sana...Jah Guide Zion daughter....
mwone kwanza!!!!!!!!ntakutukana mie, sura nzuriiiii!!!!!!
Thats my babe!!, na tutaenda tembea kandokando ya mto baada ya kumaliza kula ili kupunga upepo.
enhee! au lile la michoro ya minaziminazi na kitambaa laini na miguuni kandambili simple hivi, kichwani ukizifunga hizo dread kwa nyuma!! acha banaaa!
enhee! au lile la michoro ya minaziminazi na kitambaa laini na miguuni kandambili simple hivi, kichwani ukizifunga hizo dread kwa nyuma!! acha banaaa!
Rose1980 karibu sana
Invisible please turudishie chatroom
Ngoja nilale Rose wangu huku sasa hivi ni usiku, see u kesho if Jah wishes.......catch this GOT U BABE By Lucky Dube!!! hahahah naona Bacha kanuna pale!:whoo:
hahah haha !
vp ile iliyo chn ya scotch law inapatikana ? as welcome bak?
m waitng!
sawa bwanaooh hiyo wala usijali, its there waiting for you
Sorry nilisahau kuwambia mniwie radhi ila kajifungua hivi karibuni hivyo yupo busy ana lea.
Huku umeniinkareji huku unanibomoa haya bwana lakini nimemwona anatamaa nextime na mnywesha savanah ili ile kwake!!!toka uko<br />
ndo mana ulilipia 35 na haukuona ndan<br />
mwone vile.....nxt tym haumwon ng'oooooooooooo ishakula kwako !!!!
hahaha!!Huku umeniinkareji huku unanibomoa haya bwana lakini nimemwona anatamaa nextime na mnywesha savanah ili ile kwake!!!
kabobi kashachomwa apo?Rose hujambo mama? Karibu ulanzi!