Rose uu wapi?? am missing u!!

Rose uu wapi?? am missing u!!

la la la laaaa!!!.....Nadhani maembe na makomamanga ni mazuri zaidi kwa afya! waonaje tukila hayo halafu twashushia na maji ya Dafu??

as u said!!!
ur ma king always ntafanya unalolitaka ...no kupindsha hoja ma dear boy!1
 
Unachoongea ni kweli Rose, watu wengi wanawachukia Rastaman kwa kudhani wote wanavuta bangi na kupelekea kuuchukia hata mziki wa reggae na hivo kukosa message nzuri zipatikanazo humo.............Hahahahah I like Addis Ababa by Culture. Mimi nami ni mkristo lakini naupenda sana ustaarabu wa itikadi ya Rastaman and I have been following it for a long time now unasaidia sana katika kuondoa migongano na watu isiyokuwa ya lazima na hivyo kukuacha ukiwa fresh kifikra.. Umewahi kusikiliza Rastaman Prayer, VICTIMS au RESPECT za Lucky Dube? if not please zisikilize zina ujumbe mzuri sana...Jah Guide Zion daughter....

amen amen ntazichek!!
 
as u said!!!
ur ma king always ntafanya unalolitaka ...no kupindsha hoja ma dear boy!1

Thats my babe!!, na tutaenda tembea kandokando ya mto baada ya kumaliza kula ili kupunga upepo.
 
Thats my babe!!, na tutaenda tembea kandokando ya mto baada ya kumaliza kula ili kupunga upepo.

sana tu uku nimevaaa gauni jeupe reeeeeefu lenye mikanda nyuma aahh kwa raha zetu...!!!!!
 
sana tu uku nimevaaa gauni jeupe reeeeeefu lenye mikanda nyuma aahh kwa raha zetu...!!!!!

enhee! au lile la michoro ya minaziminazi na kitambaa laini na miguuni kandambili simple hivi, kichwani ukizifunga hizo dread kwa nyuma!! acha banaaa!
 
enhee! au lile la michoro ya minaziminazi na kitambaa laini na miguuni kandambili simple hivi, kichwani ukizifunga hizo dread kwa nyuma!! acha banaaa!

Ngoja nilale Rose wangu huku sasa hivi ni usiku, see u kesho if Jah wishes.......catch this GOT U BABE By Lucky Dube!!! hahahah naona Bacha kanuna pale!:whoo:
 
Rose1980 karibu sana

Invisible please turudishie chatroom
 
enhee! au lile la michoro ya minaziminazi na kitambaa laini na miguuni kandambili simple hivi, kichwani ukizifunga hizo dread kwa nyuma!! acha banaaa!

hahaah raha km ni i kumpata rafiki mwanamboka!
haina haja ya kwenda kwa designer ni mr tu anakupangilia madresss mpk watu wanaulizana mtaani!
sawa ntavaa ivo as usaid ma blak beb!!!
 
Ngoja nilale Rose wangu huku sasa hivi ni usiku, see u kesho if Jah wishes.......catch this GOT U BABE By Lucky Dube!!! hahahah naona Bacha kanuna pale!:whoo:

liache linune!
lal mwaya
n nty kali i wl come jst 2gve u red warm as for angels slp!!
ntakulalisha ma boy uku nakuimbia haleluya s for us rastafarians worshp n prayes iz 24 7!
m coming ma beb....night dres sasa ? zambarau ennh?ile silik? ok m on ma way
hpful umesal b4 kulala!!!!!!!!!!
 
Sorry nilisahau kuwambia mniwie radhi ila kajifungua hivi karibuni hivyo yupo busy ana lea.
 
Sorry nilisahau kuwambia mniwie radhi ila kajifungua hivi karibuni hivyo yupo busy ana lea.

toka uko
ndo mana ulilipia 35 na haukuona ndan
mwone vile.....nxt tym haumwon ng'oooooooooooo ishakula kwako !!!!
 
toka uko<br />
ndo mana ulilipia 35 na haukuona ndan<br />
mwone vile.....nxt tym haumwon ng'oooooooooooo ishakula kwako !!!!
Huku umeniinkareji huku unanibomoa haya bwana lakini nimemwona anatamaa nextime na mnywesha savanah ili ile kwake!!!
 
Huku umeniinkareji huku unanibomoa haya bwana lakini nimemwona anatamaa nextime na mnywesha savanah ili ile kwake!!!
hahaha!!
km demu mwenyewe chapombe sasa sjui itakuwaje ma dear???
andika hasara tu bwan si mbaya kwan mara ya mwsho kutoa sadaka ni lin?
 
Back
Top Bottom