Rose water fake utaitambuaje?

Rose water fake utaitambuaje?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?
 
Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?Mkitupia na tupicha itakua poa zaidi
 
inafanya nn hiyo rose water naweza kuwa muhitaji sorry.
 
Kucha bandia,kope bandia,nywele bandia,nyusi bandia,ngozi imechubuliwa na kuwa bandia na bado mnataka ROSE WATER original!!!!!!!!!
Hii ni kwa wale madada bandia na halihusiani na mtoa post
 
Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?
ukitaka bidhaa ya uhakika kama hiyo nenda kwenye yale maduka ya waarabu, bei ghali bidhaa origino, ila hawa wenzangu na mimi wanachakachua mpk mbegu, lol
 
Am surprised by this but again who sells original??? Need help....
 
Rose water original inatambulika kwa harufu yake kuwa kali sana
Alafu ukitest kwa ulimi unakua na ukakasi fulani ivi kwa mbali yani
 
Na pia hizi zinapatikana original kweny maduka ya dawa za asili ya wapemba
Waarabu co sanaa
Hayo maduka kwa Dsm yanapatkana sana Tandale na Kariakoo
 
Back
Top Bottom