Rosemary Odinga loses her eyesight

Rosemary Odinga loses her eyesight

So sad, she is such a fighter, I admire her strength, zeal and will as am not sure how devastating and depressing it can be if such happened to me, having to cope with a 'new normal'. May God continue to strengthen her.
 
Very strange diseases this family has, Their younger son Raila Jr. Has paralarised face
👇👇👇
editor1700450620828216345-524x350.jpg
 
Kifo cha Fidel ni mkono wa Jubilee! Hata hii inawezekana ikawa inside work!
what if he was sacrificed by his father for power, wee unakuanga fala sana, fidel was a junkie and everyone knws that
 
Na anayebisha zaidi akamuulize tundu lissu.
kwa ufupi wakenya ni wauaji wa kiasili wanazo zana za kila aina za kuondoa uhai wa mtu kuanzia uchawi,siraha za jadi na za kisasa,sumu za kiasili na za kibiolojia .Ila kiukweli nawakubali ukifanikiwa kuwa gavana unatafuna sana keki ya taifa
 
Going through coments, siasa za kenya ni kama kuzimu, I feel sorry for Rosemary, she was so confident lady!
 
Lol. Umewahi kusikia mkenya yeyote anayetafuna nyama ya binadamu? Chunga unachoandika binti
 
Going through coments, siasa za kenya ni kama kuzimu, I feel sorry for Rosemary, she was so confident lady!
siasa za Kenya ziliasisiwa na shetani mwenyewe ynakumbuka mwaka 2007 kuna wabunge wawili waliuliwa eti ili kubalance idadi yao bungeni.Ila nawakubali askari wa Kenya huwa wana shabaha hatari wakikulenga hawakukosi
 
Back
Top Bottom