Hapa ndipo JF somtimes na sisi tunakuwa kama wao. Rostam kaandika kijitabu cha kuomba achaguliwe kwenye kura za maoni. Katika kurasa za kitabu hicho kila page ina nembo ya CCM, kama wanavyovaaga yale magwanda ya kifisadi(kijani). Barua imepachikwa hapo, mwenye kitabu ka-scan page katoa na nembo ya CCM. Sasa sisi tunaanza kujadili nonsense badala ya kujadili mantiki ya barua na uhuru wa waziri mkuu kama taasisi. Tunarudi kulekule kwa TAKUKURU kutumiwa kama ambavyo Waziri mkuu katumiwa.
Ukisoma utajua kwamba nimesema "waandishi wa habari baadala ya kutuambia....au kutuambia kuna conflict of interest Waziri Mkuu kuandika barua kwa letterhead ya chama".
Ukijua kusoma utaona kwamba nimewapa waandishi kazi ya ku clarify vitu vinavyoweza kuonekana controversial. Habari za wenzetu zinakuwa exhaustive, utakuta mtu anakwambia
"on a government letter attached to an Aziz campaign CCM letterheaded pamphlet, the Prime Minister instructed..." Kwa hiyo mtu unaondolewa shaka kwamba barua haikuwa na letterhead, ila ni pamphlet la Rostam ndilo lenye letterhead, hii inakuwa habari iliyoondoa utata, ndicho ninachosema, wandishi wetu wanalipua lipua na hawawezi kufanyaan exhaustive report, mwishowe hata namba ya barua tu wanakosea.
I guess some could say najitafutia matatizo kutegemea uandishi wa NYT kwenye magazeti yetu, setting myself for disappointment. I am not even disappointed because I didn't have any expectations to begin with, but that does not mean I shouldn't criticize.
Na inawezekana kabisa kwenye hiyo barua kuna issues kibao za kuandika, lakini wao kwa akili zao fupi wanatafuta a quick scoop.
Hata kama ingekuwa kweli barua imekosewa namba, ningesema ofisi ya Waziri Mkuu iko disorganized na imekosa umakini, lakini nisingesema "Rostam amwanika Pinda"
Ukisema "Rostam Amwanika Pinda" unatoa impression kwamba Rostam kamblast Pinda, mie nilivyoona hiyo heading nikajua CCM vita ishaanza, ukiona hata PM watu wanamblast you better pay attention.
Come to find out it is about thedoubled letter reference that wasn't doubled at all.