Elections 2010 Rostam amwanika Pinda


hata mimi nililiona hivyohivyo kuwa kuna tofauti
Labda ishu ingekuwa kwanini awe na hizi barua wakati hajapewa nakala kwake
 

Ukisoma utajua kwamba nimesema "waandishi wa habari baadala ya kutuambia....au kutuambia kuna conflict of interest Waziri Mkuu kuandika barua kwa letterhead ya chama".

Ukijua kusoma utaona kwamba nimewapa waandishi kazi ya ku clarify vitu vinavyoweza kuonekana controversial. Habari za wenzetu zinakuwa exhaustive, utakuta mtu anakwambia "on a government letter attached to an Aziz campaign CCM letterheaded pamphlet, the Prime Minister instructed..." Kwa hiyo mtu unaondolewa shaka kwamba barua haikuwa na letterhead, ila ni pamphlet la Rostam ndilo lenye letterhead, hii inakuwa habari iliyoondoa utata, ndicho ninachosema, wandishi wetu wanalipua lipua na hawawezi kufanyaan exhaustive report, mwishowe hata namba ya barua tu wanakosea.

I guess some could say najitafutia matatizo kutegemea uandishi wa NYT kwenye magazeti yetu, setting myself for disappointment. I am not even disappointed because I didn't have any expectations to begin with, but that does not mean I shouldn't criticize.

Na inawezekana kabisa kwenye hiyo barua kuna issues kibao za kuandika, lakini wao kwa akili zao fupi wanatafuta a quick scoop.

Hata kama ingekuwa kweli barua imekosewa namba, ningesema ofisi ya Waziri Mkuu iko disorganized na imekosa umakini, lakini nisingesema "Rostam amwanika Pinda"

Ukisema "Rostam Amwanika Pinda" unatoa impression kwamba Rostam kamblast Pinda, mie nilivyoona hiyo heading nikajua CCM vita ishaanza, ukiona hata PM watu wanamblast you better pay attention.

Come to find out it is about thedoubled letter reference that wasn't doubled at all.
 
kuna ile nyingine aliyomsainisha mtikila alivyompa hela nayo ilisemekana ni ya kughushi
 
dah,kumbe ndo maanaPinda hapendagi kuendeleaaa, mm nilidhani ni tetesi tu!!
 

Penye red: Hapana -- iwe ufukweni karibu na Banda Beach! Kama jinsi utawala wa Jerry Rawlings wa Ghana ulivyowauwa wale viongozi mafisadi mwaka 1979 -- akina Afrifa na Acheampong! Kama leo hii Obama anatamka kuwa Ghana angalau ina utawala bora kuliko nchi nyingi Barani humu, basi sababu yake ni hiyo.
 
Nilishasema huko nyuma kwamba RA keshaiweka serikali ya JK mfukoni mwake. Sababu yake inajulikana, na hii naomba Chadema walifanyie kazi kubwa wakati wa kampeni! JK akishinda uchaguzi, RA anaweza kumwambia, sorry, kumuamuru amchague tena EL kuwa waziri Mkuu -- kama akikataa, basi anamwaga siri yote ya Kagoda na Richmond! Pagumu hapo, na kwa kuwa JK, kwa sababu bado sijazibaini anapenda sana urais, atakubali tu.

Mimi ningekuwa JK, ningesema 'majambo haya ya EPA na Richmond, mradi nimemaliza ngwe ya kwanza salama, basini tosha kabisa, kwa nini nikaribishe makubwa zaidi?' Ni kweli, kama wahenga walivyosema --kila mkataa pema, pabaya panamwita! JK asifikirie iwapo ngwe ya pili anaweza kumudu kwa njia alizotumia kama katika ile ya kwanza!
 
hapo nakuunga mkono maana si kweli hata kidogo kwa mwenye akili,
bali kwa mvivu kufikiria sana ataziamini hizo barua kwanza mbona utadhani ni za mapenzi
kwa kunakshiwa na maua?
 


Eeeh bwana wee, kumbe Pinda mhuni eeeh!?.. duh ama kweli mtoto wa mjini wa mjini tu..

Hata hivyo zile barua ni fake haiwezekani barua toka Ofisi ya Waziri mkuu atumie karatasi zenye nembo ya chama cha CCM. Wana Igunga wamepigwa changa la macho na siku zote hawa watu wanababaikia sana rangi. Wakiona Mbrushi ni sawa na wameona malaika hivyo RA ataendelea kuwaingiza mjini hadi watie akili.
 
Who is smarter here?



Pinda toka mwanzo alipoteuliwa alionekana kuwa weak pm kwani alishaanza kusema kuwa asingeweza kuwashuhulikia mafisadi kwani ni watu hatari sana ambao wangeweza kuiyumbisha serikali; what a comment from a pm!! Alipokwenda Igunga kutembelea jimbo la Rostam kama picha hiyo hapo juu inavyoonyesha ; kule Igunga ndiko inasemekana[ kwani hakubisha] alimsifia sana huyo fisadi na akawasihi wananchi wasisikilze yale yanayojili bungeni kwani hayakuwa ya maana!! To say that mtoto wa so called mkulima hawezi hiyo kazi is an understatement!
 

Pinda ni type fulani ambayo haikutegemea kabisa kuwa hata MP, let alone PM.

Kwa hiyo as far as he is concerned, yeye ni mtu wa "I am just happy to be here" why rock the boat ?

Hivi watu walivyomshabikia sana kabla ya kuteuliwa waliona nini in him? au ndiyo sifa za kibongo "hana mali ?"

Mzee Kenyatta serikali yake kutokuwa na mali ilikuwa ni kashfa, kama kiongozi aliona ni muhimu kuonyesha mfano. Alishawahi kumlambast waziri wake mmoja, kwa kusema mawaziri wangu wote mambo fresh, fulani ana mashamba ya kahawa, fulani ana mabasi, fulani analima chai, wewe tu huna kitu, hufai.

It is time tuangalie umasikini kama disqualification, si qualification.Kwa sababu mtu kama Pinda hana kitu anashindwa hata kuwakaripia mafisadi. Hakuna sababu mtu wa level ya PM asiwe na mali aliyoipata kihalali kama yuko industrious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…